...akijitamba kwa kitu alichokifanya akiwa hajui kuwa kesi imeshafika polisi?
... baada ya kukufungulia criminal case wewe ukalet mashahidi tayari kwa kupambana nae ndo maana akakufungulia na civil suit.
...sasa u will be convicted in the criminal case and there will be alot of pressure to the bar associate to remove u from the system.
Shadow,
Kama unavyojua, kesi nyingi za madai huwa zina settle nje ya mahakama, kwa hiyo huwa sitegemei mengi yaibuliwe na kesi. Na hata zisipo settle, press ya Tanzania huwa haiwezi ku cover details za kesi kwa undani. Unaweza kusikia fulani kafungua kesi halafu jiiiiii!
Ila ningependa kama angeshtakiwa kesi ya jinai tuone kama Law Society wangem disbar akipatikana na makosa. Lakini na hapo pia tusingeweza kusikia details za kesi zinavyokwenda. I mean, imagine mpaka leo hakuna gazeti limeandika kina Yona na Mramba wameshtakiwa kwa kuvunja sheria gani. Kiasi cha mtu kwenda kusoma criminal complaint tu, wanashindwa. Ndo maana hizi kesi zikianza I never hold my breadth.
Huyo Uwiano Maalum naona hajui anachokisema. Anamlaumu aliyepigwa eti ana "provoke wanaume wenye pesa kutafuta uhusiano." Hivi ukitaka kumchuna mtu unatam provoke? Anasema sheria na jamii isimpe sympathy ya "uislam na uanammke" halafu hapo hapo anajifanya ame maindi mama alivyopigwa. How preposterous.
...magai kapeleka mashahidi watatu polisi, manager wa bar kempinsi bwana nicolas , bouncer na ama blaze yule mtangazaji wa radio na wote hawa watatu wameclaime kwenye statement zao kuwa hakuna kitu chochote kilichotokea pale na kuwa magai wala mange hawakuvamiana.
hivi hawa mashahjidi wanajua kuwa wamevunja sheria?
wanajua kuwa pale level 8 kuna cctv camera?
na ama blaze alikuwa na mmoja wa watu waliokuwa wanamshika magai amuache mimi kiwa machoi yangu nilimuona akisaidiana na kina justine masawe kumtoa magai?
imekuwaje kaenda kusema uongo polisi?
criminal casee hii hapa
CD/RB/3298/09
CD/IR/1057/09
Iits been reported on the paper KULIKONI
criminal casee hii hapa
CD/RB/3298/09
CD/IR/1057/09
Iits been reported on the paper KULIKONI
Wakuu i have read a few posts by Mange in various blogs and after now reading posts by our new member Ashasaidi i have a strong inclination to believe it is the same person due to the writing style and choice of words.Welcome to JF.
Who cares?
I mean, this is not facebook, not Utamu. Wewe Lagatege mbona unajificha mwenzako ndio unam expose?
Kama unamjua Mange kanywe nae chai!
Hujui kama Mwalimu hakuniiga mimi pale Msasani. Hunijui.
Mwalimu alikuwa ana tafsiri vitabu vya watu na kuchukua idea za watu anazileta Bongo!
I am who I am. Ukweli lazma usemwe, niliona kila kitu mange alichoclaim kasoro titi na akitaka nimsaidi kutesty nitafanya kwa pesa kidogo tu. Jamaa ni kweli kamuattack.ukitaka kusoma post za mange nenda utamu huwa anaweka na jina lake hadharani!
I am who I am. Ukweli lazma usemwe, niliona kila kitu mange alichoclaim kasoro titi na akitaka nimsaidi kutesty nitafanya kwa pesa kidogo tu. Jamaa ni kweli kamuattack.ukitaka kusoma post za mange nenda utamu huwa anaweka na jina lake hadharani!
Kutestify kwa kitu kidogo tena?
Huo ushahiidi hauna nguvu!
Yes, they mean it literally!
Wanamaanisha, kwa fikra zao, kwa mawazo yenu, mwanamke ni mtu weakling weakling, hayuko rafu rafu akiendesha gari, kazi yake kulia lia, udhaifu na kulalamika. Nyinyi msemao hivyo mnamaanisha literally!
Na wewe ulipomlaumu Magai kwa kumpigia Kempiski badala ya bar ya uswahilini umeharibu. Just because hayo mambo yanatokea kila siku uswahili haina justify kwamba ni sawa.
Unasema kama hatujapita uswahilini, okay, sasa wewe "uliyepita" uswahilini na mimi ambae sijapita nani anakujali zaidi huko Uswahilini, mimi au wewe unaeshabikia kwamba ili Magai aonekane mtu mzima mwenye akili zake basi amchukue mwanamke akambwengee kwenye bar za Usweken kwa sababu huko watu watasema mwanamke "malaya tu"! Zanaki unaharibu, kataa usikatae.
"Kupita uswahilini"! Tena usije ukajichanganya mitaa ya kati kumpiga mwanamke "kwenye bar uswahilini." Kuna anga fulani fulani tutakugombania na utakuona kuchungu usije "kupita" tena. Na huko Kempiski kwenyewe na sisi "tukipita" tukakuta unamshauri Magai amlete mwanamke kumchapia usweken tutawarukia wewe na Magai!