BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,007
Labda tuwaandikie waondoe magazeti yao yote online badala ya kuendeleza upumbavu wanoufanya
click hapa: -Ippmedia free newsletter-
click hapa: -Ippmedia free newsletter-
Granted IPPMedia ni wachovu, lakini mimi nafikiri hapa inawezekana kabisa kwamba kuna zaidi ya uchovu.Inawezekana wanaona effects za watu kusoma magazeti mtandaoni katika kupungua mauzo ya magazeti yao na wanafanya makusudi kutoweka habari hizi.
Ingekuwa vizuri kama wangewajulisha watu kwamba "tutaweka baadhi ya makala na ripoti tu, nyingine zitapatikana katika print version" kuliko kuacha watu wategemee kupata habari zote halafu wakakuta "Page Not Found" au upuuzi mwingine kama huo.
Very unprofessional.
Kuhusu sula kla IPP MEDIA naunga mkono vilio vya wanakijiji wote waliochangia ila naomba kuongeza jambo na samahani kama nitatoka nje ya mada kwa kiasi fulani.
Ni hivi hata wesite ya TANZANIA DAIMA hapa ofisini kwetu tumefungiwa kuifungua ( Wamei-block) baada ya kuonekana kuwa na virus wengi aina ya TROJAN... na wenzetu hao wafikishiwe ujumbe ili wahusika wajaribu kuisafisa ili sisi wasomaji tuweze kuifikia bila kuwakwanza wenye facilities zao ( Waaajiri)

Ndio maana nilisema badala ya kulalamika na kukandia kwanini tusiwaandikie? It took me less than 30 seconds kuwaelezea hicho and guess what? ...
Ndio maana nilisema badala ya kulalamika na kukandia kwanini tusiwaandikie? It took me less than 30 seconds kuwaelezea hicho and guess what? ...
tatizo lilikuwa Rostam....naona wamefanya mabadiliko! why soo late??? Hadi wakumbushwe??
naona wamefanya mabadiliko! why soo late??? Hadi wakumbushwe??