Recent content by Maussein Sheith

  1. Maussein Sheith

    Back pain

    Low Back Spinal Cord Matibabu bila Upasuaji kwa kutumia DRX9000 SPINAL DECOMPRESSION MACHINE Je kuna Mtu anafahamu ni clinic gani au Hospital za Tanzaia ipo hii Machine?
  2. Maussein Sheith

    Maumivu makali ya mgongo (back pain) na tiba yake

    Bila dawa basi tatizo lako lilikuwa dogo mno
  3. Maussein Sheith

    Maumivu makali ya mgongo (back pain) na tiba yake

    Nenda Tanga kibiboni wakatibu hilo tatizo na utawakuta wagonjwa kibao wa tatizo km lako pale
  4. Maussein Sheith

    Maumivu makali ya mgongo (back pain) na tiba yake

    Nenda Tanga mjini uliza sehemu inaitwa Kibiboni ni njia ya kwenda Mombasa kwa Mzee Hassan huyu anawatibu watu na wanapona hata waliovunjika Miguu,nyonga,mikono na Tanga nzima wanamjuwa,ili ujue ni mzuri fika Tanga muulize mtu yoyote atakupa jibu hili hili,watu wakubwa kibao anawatibu na hati...
  5. Maussein Sheith

    Haya ni mawe gani?

    Hizi ni Ruby Corrandum
  6. Maussein Sheith

    Naomba msaada nataka nigombee ubunge naanzia wapi na kukamilisha vitu vyote

    uchaguzi meko kauharibu tayari kwa kuwatoa Mawakala wasipewe Copy ya matokeo maana yake aibe mkose ushahidi huyu hafai kabisa ktk utawala bora
  7. Maussein Sheith

    Tiba ya pingiri za Uti wa Mgongo

    Wadau nasumbuliwa na Tatizo la Maumivu ya Pingiri za Uti wa mgongo kuanzia kwenye Kiuno pingiri S1,L5,L5 kipimo cha MRI kimeonyesha jle Ute umeisha na pingiri kidogo zimekuwa Bulge Disk na Herniated Disk hali hiyo ndiyo inafanya Nerves za Uti wa mgongo kubanwa na kuniletea maumivu,mwenye kujuwa...
  8. Maussein Sheith

    Rais Magufuli ammwagia sifa Mzee Lowassa, amuita 'superman'

    Kamsifia sababu Mh.Lowassa kakaa kimya
  9. Maussein Sheith

    ITV na CHADEMA

    Hizi ndiyo Akili zinazokanusha kuwa Mtaalam siyo bora ila Kiongozi wa Kisiasa ni Mtaalam hata km hana taaluma hiyo,shamed on you!
  10. Maussein Sheith

    Pita hapa kama unataka kujua chochote kuhusu biashara Kampala

    Mimi nataka kujua kwamba,nasikia Biashara ya Mitumba yote viatu au nguo zinazuiwa na ukikamatwa nazo hizo Biashara ni kesi na ikithibitika Unafungwa,je ni kweli?
  11. Maussein Sheith

    Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

    Nipe contact zako nitakutafuta sbb ni kweli nina Tatizo la pingiri za uti wa mgongo"!
  12. Maussein Sheith

    Uvumi wa Maalim Seif kukabidhiwa nchi na UN

    Tanzania bara tunainyonya Zanzibar na Zanzibar kwa jinsi Muungano ulivyo si km Nchi ni km Mkoa fulani wa Tanganyika,Duniani kote hakuna Muungano km huu uliopindapinda na baadhi ya Wazanzibari kinachowasumbua ni kuahidiwa rushwa ya vyeo tu kuwa wewe utakuwa Waziri na wewe utakuwa Makamu wa Rais...
  13. Maussein Sheith

    Hakuanza leo kutoheshimu mihimili mingine

    Huyo mbona hajitambui muda mrefu sana
Back
Top Bottom