Wadau, poleni na majukumu ya siku. Naombeni msaada jinsi ya kurudisha network kwenye simu yangu P7 huawei nimejaribu setting-search network imegoma. nili factory reset simu ndio likajitokeza hili. Asanteni
Pole the Boss. Na Nakupongeza kwa kupata moyo wa kusamehe. MImi kusamehe nimeweka ni jambo la kawaida katika maisha yangu lakini mtu niliyemsamehe huwa simuamini tena yeye ndio huwa namwamchia jukumu la kufanya mimi nimwamini.kama hawezi fanya bidii ya yeye kuaminika mimi hukaa mbali nae kabisa...
Kitu kibaya sikuhizi wanawake ni wezi sana. swala baya zaidi ni sisi wanaume tunataka vitu vizuri wakati 1. uwezo navyo hatuna 2. Kupoteza muda 3. Kutokujua unataka nini ndani ya mahusiano.
1. Sikuhizi dada zetu ni mashindano kuanzia kuvaa, malazi,gari,pesa nk wanataka birthday party...
mimi ya kwangu ilianza kama yako kwa sasa kitaa cha power mode kinawaka na kuzima wala TV haiwaki. LG inawezekana power supply yake sio nzuri nimepeleka kwa mafundi kama 4 bila mafanikio kwa sasa ipo store na Fundi nilieelekezwa kwake kupitia mdau wa humu anaishi Iringa na wanasema ndiye pekee...
Alkelokas;9463429]Tatzo mi nko Iringa.
je ni nini cha kufanya ? kuna uwezekano wa kutengeneza power supply nyingine ama hadi nitafute aina hii hii ?
Usahauri wako ni nini ?
Habari za Leo wanajamvi,
Nimepata tatizo la kuungua power supply wa TV yangu LG (FLatscreen) nimepeleka kwa mafundi kama 4 wote wameshindwa. Je kuna mtu anafahamu wapi naweza pata mafundi wazoefu ? Kwenye maduka ya LG nimewaomba ikashindikana kwani sikununua hii TV hapa Tz kwenye maduka yao.
NIkicomment sana hapa nitaambiwa UKAWA wacha niseme kuwa TANZANIA haijawahi kuwa na muungano sisi hapa ni mapatano wewe fanya hiki mimi nifanye hiki tuendelee kuishi.
Tatizo nchi hii vitu vya muhimu kama KATIBA tumelichukulia ni jambo la kisiasa zaidi wakati hili jambo ndio misingi ya nchi hujengwa nalo. Mimi siwalaumu wala sitoshabikia mtu lakini wananchi sisi wenyewe ndio tumekaa kimya bila hata kuonyesha msimamo tukaacha chama cha siasa kiamue jambo lolote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.