UKAWA Wapigwa Bao la Kisigino

UKAWA Wapigwa Bao la Kisigino

Wewe ni mbumbumbu kweli,hakuna nondo wala gogo vinavyoongelewa na hao ccm,wote wanaongea pumba tu tena za kukaririshwa na mabwana zao,na wanachoongea ni kilekile,na kwakuwa ni ma mbumbumbu yamekalia kujadili wa tu badala ya hiyo rasimu,si waseme basi hiyo serikali 2wanayotaka itatatuaje kero za muungano,hawawezi maana tangu muungano hizi kero zipo tu,jk akasema hizo kero zinazungumzika,kivipi? Ikiwa tangu enzi na enzi kero zipo tu?au walikuwa hajui kuzizungumza sasa hivi ndiyo wamejuwa?mburula nyinyi!
Pole sana ndugu. Wewe kama unaita pumba, Watanzania wengi wanaziamini na hakika kila kona mitaani wananchi wanawalaani vibaya sana hawa UKAWA
 
mpododo unakuwasha sio bure! Ukawa wametoka bungeni kwanini waliobaki bungeni wanawazungumzia walio nje? watunge katiba wawaache waliosusia,
Ni lazima wawalaani kwa vile ni mawakala wa Shetani. Ni maadui wa taifa hili na nitawashangaa sana wabunge wasipowasema vibaya hawa UKAWA
 
Katika jambo moja tu waliobaki mjengoni wamefanikiwa nalo ni kupata 300,000 kila siku ila siyo kuandaa katiba ya wananchi. Mtu yeyote mwenye akili japo ya wastani tu anajua kuwa katiba ya nchi haiwezi kuandaliwa na kakikundi tu ka watu tena wakigomea maoni ya wananchi. Kama wanaotaka serikali 3 watoa maoni 17,000 ni wachache, basi ni vema tukaambiwa waliotaka serikali 2 katika wale waliotoa maoni walikuwa wangapi?
ujue thelusi mbili inapelea kwa hesabu ndogo sana,na hapo hujaweka wale 201,na bahati mbaya wenje akawambia wamehongwa wali na soda,unadhani wataelemea wapi?.pia kuna wapinzani wamebaki mle mjengoni kama mrema,hamad etc.

Lolote laweza kutokea hiyo kesho.
 
Tatizo nchi hii vitu vya muhimu kama KATIBA tumelichukulia ni jambo la kisiasa zaidi wakati hili jambo ndio misingi ya nchi hujengwa nalo. Mimi siwalaumu wala sitoshabikia mtu lakini wananchi sisi wenyewe ndio tumekaa kimya bila hata kuonyesha msimamo tukaacha chama cha siasa kiamue jambo lolote juu ya hatma ya uwepo wetu. INASIKITISHA
 
Hiki kikundi ch ukawa ni kikundi cha kihaini kabisa lakini safari hii wamepatikana hesabu zao zote hazigawanyiki.

walitoka bungeni wakidhani kuwa bunge litabunjika imeshindikana.

walitoka bungeni wakidhanimkuwa posho watazipata bila hata ya kufanya kazi mwigulu kawapiga stop sasa wanahaha.
 
Mkuu kwa mawazo yako haya unataka wanachi tufanye nini au unataka tufuate upuuzi wa ukawa kukimbilia mitaani wakati katiba inatungwa bungeni.
 
Tatizo nchi hii vitu vya muhimu kama KATIBA tumelichukulia ni jambo la kisiasa zaidi wakati hili jambo ndio misingi ya nchi hujengwa nalo. Mimi siwalaumu wala sitoshabikia mtu lakini wananchi sisi wenyewe ndio tumekaa kimya bila hata kuonyesha msimamo tukaacha chama cha siasa kiamue jambo lolote juu ya hatma ya uwepo wetu. INASIKITISHA
Tumekichagua chama kituwakilishe na kitusimamie. Kinatusimamia na kinatuwakilisha wewe unalalama. Au wewe ni wa UKAWA nini!
 
Katika jambo moja tu waliobaki mjengoni wamefanikiwa nalo ni kupata 300,000 kila siku ila siyo kuandaa katiba ya wananchi. Mtu yeyote mwenye akili japo ya wastani tu anajua kuwa katiba ya nchi haiwezi kuandaliwa na kakikundi tu ka watu tena wakigomea maoni ya wananchi. Kama wanaotaka serikali 3 watoa maoni 17,000 ni wachache, basi ni vema tukaambiwa waliotaka serikali 2 katika wale waliotoa maoni walikuwa wangapi?
No no no no no no no! Kwa sasa bunge linaendeshwa kwa hoja za ushawishi wakati ukawa walipokuwepo bunge lilikuwa linaendeshwa kwa matusi na kejeli yaliyokuwa yanasababishwa na Lisu pamoja na wenzake.
 
Mkuu wapo wajumbe wa ukawa wanadaiwa hela za hotel na vyumba vya kulala hawajalipa sijui watafanya nini na kesho bunge linaahilishwa.
Mkuu, kumbeeee! Hakika kuondoka kwa UKAWA kumewachukiza wengi. Walaaniwe sana hawa. Wametumia hovyo Hoteli za watu, wamefanya mambo ya hovyo, wahudumu wamefanya kazi kubwa ya kufanya usafi ikiwa ni pamoja na shuka zao, taulo zao na dust been nk halafu anaondoka bila ya kulipa! Walaaniwe hawa
 
No no no no no no no! Kwa sasa bunge linaendeshwa kwa hoja za ushawishi wakati ukawa walipokuwepo bunge lilikuwa linaendeshwa kwa matusi na kejeli yaliyokuwa yanasababishwa na Lisu pamoja na wenzake.
Mkuu, hata mie nimeliona hilo. Hapa ni hoja tu zinatolewa. Namuona Vuai Ali Vuai anamwaga nondo za uhakika kweli
 
Wadau, yapo mengi ila kwa hayo niliyoyasema, ni wazi kuwa UKAWA wamelikoroga na lazima walinywe.

Ve wa chiimwisi uyagisa BHANU. Cna chama nnachokpenda ila nachukzwa na mwenendo wa ccm na ufedhuli wao. Hata ww mbung'ulilu wa mene tafakari upotoshaji wako. Pa mada** ngaku.
 
Hiki kikundi ch ukawa ni kikundi cha kihaini kabisa lakini safari hii wamepatikana hesabu zao zote hazigawanyiki.

walitoka bungeni wakidhani kuwa bunge litabunjika imeshindikana.

walitoka bungeni wakidhanimkuwa posho watazipata bila hata ya kufanya kazi mwigulu kawapiga stop sasa wanahaha.
Mkuu, si riziki hawa. Hakika wamefedheheka sana
 
Pole sana ndugu. Wewe kama unaita pumba, Watanzania wengi wanaziamini na hakika kila kona mitaani wananchi wanawalaani vibaya sana hawa UKAWA

Acha kukalia gogo la maccm utaharibikiwa.
 
Wadau, yapo mengi ila kwa hayo niliyoyasema, ni wazi kuwa UKAWA wamelikoroga na lazima walinywe.

Ve wa chiimwisi uyagisa BHANU. Cna chama nnachokpenda ila nachukzwa na mwenendo wa ccm na ufedhuli wao. Hata ww mbung'ulilu wa mene tafakari upotoshaji wako. Pa mada** ngaku.
Mkuu, hakika nilichoeleza ndio uhalisia. We endelea tu na uhayawani wako huo
 
Kwa macho yangu nimeona neona wanaukawa wengi waliouzwa dodoma wenzao wakaenda zanzibar kweli wanapata shida sana hapa dodma.

mbunge mmoja toka chadema alimuomba ishirini elfu mbunge mmoja wa chama kimoja wapo huku akilaani sana kitendo cha viongozi wao kuwaingiza kwenye changamoto hii.
 
Acha kukalia gogo la maccm utaharibikiwa.
CCM ni chama changu na ni chama bora Tanzania. Si haya mavyama ya kiliberali ambayo viongozi wake karibu wote ni maliberali
 
Mkuu, kumbeeee! Hakika kuondoka kwa UKAWA kumewachukiza wengi. Walaaniwe sana hawa. Wametumia hovyo Hoteli za watu, wamefanya mambo ya hovyo, wahudumu wamefanya kazi kubwa ya kufanya usafi ikiwa ni pamoja na shuka zao, taulo zao na dust been nk halafu anaondoka bila ya kulipa! Walaaniwe hawa
Sure mkuu tena laana hii ya kutukana waasisi nayo imewaandama kweli hawatabaki salama hata iweje huwezi kumtukana matusi yote yale nyerer halafu ukabaki salama kamwe haitokei ukawa hawana pakutokea.
 
Kwa macho yangu nimeona neona wanaukawa wengi waliouzwa dodoma wenzao wakaenda zanzibar kweli wanapata shida sana hapa dodma.

mbunge mmoja toka chadema alimuomba ishirini elfu mbunge mmoja wa chama kimoja wapo huku akilaani sana kitendo cha viongozi wao kuwaingiza kwenye changamoto hii.
Inatisha sana na inauma kweli. Sasa si bora warudi tu kwa wake na waume zao. Tatizo kubwa la wana UKAWA ni kuwa wengi wao hawajaoa wala kuolewa. Ndo maana wengi wamebaki huko Dom wanahangaika
 
Back
Top Bottom