Recent content by mauki barakuda

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kizaazaa: Bwana harusi apokea zawadi ya picha za mkewe akishiriki tendo kinyume na maumbile

    Angesema ni ulevi maana alikua anapiga kitu cha SAVANNAH huku akiliwa 0714....
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kizaazaa: Bwana harusi apokea zawadi ya picha za mkewe akishiriki tendo kinyume na maumbile

    Picha nimeziona. Asee pole sana dada kwa maswaibu hayo!,. Inasikitisha sana
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siku ya wanawake Duniani huyu anapaswa kuwa mgeni rasmi

    Hivi huyu dada kaishia wapi. Simsikii tena na ndenjela alishaacha
  4. M

    JamiiForums Tanzania Vyuo bora Tanzania kwa kozi mbalimbali

    Unaendelea kivipi!? Au hujasoma hitimisho la bandiko!? Anyway sidhani kama East Africa kwa kozi za agriculture na utafiti eti unaweza iacha SUA. Ndio maana napata mashaka
  5. M

    JamiiForums Tanzania Anaejua jinsi ya kupata ajira Mobisol atufahamishe

    Haahaahaahaa,.. Mlikua 7 bwana. Au ndio kitete cha usaili. Anyway Mobisol haina longolongo. Ukijiamini na kujieleza vizuri basi unapata nafasi. Hakuna rushwa wala kujuana.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Vyuo bora Tanzania kwa kozi mbalimbali

    Agriculture engineering vipi!? We mtoa mada hauko smart na utafiti wako umeufanyia chumbani!
  7. M

    JamiiForums Tanzania Magufuli: Tupo imara, atakayejaribu kutuyumbisha tutambomoa. Nitafia Tanzania...

    Ukileta Fyooko fyokoo imekula kwako hiooo
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania BLACK VIEW (Zeta) Phone

    Asante sana mkuu kwa ushauri mzuri,..
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania BLACK VIEW (Zeta) Phone

    Naombeni kujua uwezo wa simu hii kwa anaezifahamu vizuri
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mechi ya taifa stars: TBC 1 television ya taifa wataonyesha?

    Haaahaaaah!! Itabidi apitie malamba, kinyerez mkuu,.. anaweza wahi japo dakika za majeruhi kuliko kukosa kabisa
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mechi ya taifa stars: TBC 1 television ya taifa wataonyesha?

    Kama uko dar Karibu home sinza mkuu tujumuike,..
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mechi ya taifa stars: TBC 1 television ya taifa wataonyesha?

    ZBC 2 wataonesha
  13. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Uwanja wa Uhuru: Kuapishwa kwa Dr. Pombe Magufuli kuwa Rais wa Tanzania

    Atakua na Wadhifa gani mkuu
  14. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Uwanja wa Uhuru: Kuapishwa kwa Dr. Pombe Magufuli kuwa Rais wa Tanzania

    Huyu mwana mama namemuona anaongozana na magufuli kukagua gwaride na sasa hivi yuko nyuma ya magufuli na kikwete. Hivi atakua na cheo gani
  15. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa asababisha timua timua ITV

    Hio clip niliiona kwa Instagram kwenye page ya mdada maarufu mtanzania anayeishi nje,. Sidhani kama ni uzushi
Back
Top Bottom