Apo lazima upate ilikua mkoa gani hiyo interview?tulipiga interview ijumaa wiki iliyopita, wanataka watu watatu, tulikuwa 6 shortlisted!
Haahaahaahaa,.. Mlikua 7 bwana. Au ndio kitete cha usaili. Anyway Mobisol haina longolongo. Ukijiamini na kujieleza vizuri basi unapata nafasi. Hakuna rushwa wala kujuana.tulipiga interview ijumaa wiki iliyopita, wanataka watu watatu, tulikuwa 6 shortlisted!