Recent content by matyhans

  1. matyhans

    JamiiForums Tanzania Tetesi: MSAADA TUTANI

    Habari wakuu, dogo amepata Div IV ya 28 Maths F English F Kiswahili C History C Geography D Biology D Civics D Naomba ushauri asomee kozi gani ? Nataka mpeleka Certificate then Diploma.
  2. matyhans

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Tumia prepaid card ni rahisi Sent from my Pixel 6 using JamiiForums mobile app
  3. matyhans

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    NAOMBENI SAMSUNG A50 NINA 380,000/- Sent using Jamii Forums mobile app
  4. matyhans

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Taja jina la movie ulioitazama zaidi ya mara 5 lakini bado hujaichoka

    salt - Knaben Database Sent using Jamii Forums mobile app
  5. matyhans

    JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu cha Iringa na vitendo vya lecturers wa sheria

    ACHA UVIVU Sent using Jamii Forums mobile app
  6. matyhans

    JamiiForums Tanzania Tigo mnajali wateja, hizi bando si mchezo

    TIGO BABA LAO Sent using Jamii Forums mobile app
  7. matyhans

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    NAHITAJI TV SIZE 65" BRAND IWE LG..STAR X...HISENSE..TCL..SAMSUNG AU SONY MWENYE NAYO ANICHEK Sent using Jamii Forums mobile app
  8. matyhans

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata Internship

    JINGA KABISA Sent using Jamii Forums mobile app
  9. matyhans

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya Uhasibu A.I.C (T) Ilungu English Medium Mwanza

    Sasa hilo Tangazo si litangazwe makanisani Tu Sent using Jamii Forums mobile app
  10. matyhans

    JamiiForums Tanzania MUST MUNAYUMBISHWA NA NINI

    umeambiwa network inasumbua sasa hapa utasaidiwa nini? nina mashaka na ufaulu wako
  11. matyhans

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Taja jina la movie ulioitazama zaidi ya mara 5 lakini bado hujaichoka

    1. 3 idiots 2. Let it shine
  12. matyhans

    JamiiForums Tanzania Je, hakuna namna yoyote ile ya kufanya 1 + 1 iwe ni sawa sawa na 10?

    haitokusaidia kama umeishia form 4 achana nayo sio lazima kila kitu ukijue... kwa sasa elewa kuna kitu kinaitwa Number systems... na zipo nyingi hyo Binary ni moja wapo ya system.
  13. matyhans

    JamiiForums Tanzania Je, hakuna namna yoyote ile ya kufanya 1 + 1 iwe ni sawa sawa na 10?

    hiyo ni BINARY NUMBER SYSTEM
  14. matyhans

    JamiiForums Tanzania HESLB

    kwhy hutaki au
  15. matyhans

    JamiiForums Tanzania Bachelor of Technology in Laboratory Science ajira unaweza kupata kwenye nyanja gani?

    hamna aliyemaliza kwa sasa. kwakua ni kozi mpya
Back
Top Bottom