Msaada wa kupata Internship

Srinivan Ramanujan

Senior Member
Nov 1, 2019
159
201
Habari

Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24, ni mhitimu wa shahada ya Uhandisi wa Mawasiliano (Bsc in Telecommunications Engineering) mwaka huu, 2019 mwezi wa saba.

Dhumuni la uzi huu ni kuwaomba ndugu, jamaa na marafiki wa familia hii ya JamiiForums msaada wa mahala pa kujitolea hata bila malipo.

Nina ufahamu kiasi wa mambo yafuatayo:-
1. Networking
2.Data base (oracle)
3.Programming (c++, java na Php)

Ni nitumaini langu kuwa ombi langu limefika mahala sahihi . Asanteni.
 
Ingia hapa .. Hapo naonaga matangazo ya kazi na ya internship pia.. ukishaingia chagua category ya IT & software sometimes kuna had matangazo ya kazi kwa watu wenye 0-1 year experience yaan new graduate ili mradi uweze ku-demonstrate skills zako na performance
Unaweza ukaonesha kuwa unaweza kwa kutumia project zako mwenyewe kwa case ya programming.
 
Nenda TAESA
 
Fika ofisi za TAESA na vyeti vyako OG utajaza form na kusajiriwa few days to come utapata unachokitaka!!

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kaka wewe ni msomi, msomi ndiye anatakiwa kutoa msaada na sio kuomba msaada

Just shakeup your brain fanya kitu, jamii inasubiria support yako
Sizani kama hawezi, anaweza like everybody else

Shida kuu unaeza kuta Kula na hata kulala as graduate ni shida.

Familia zetu hizi man sio Sawa.

Sasa unaanzaje ku deliver wakati hauna food security and accomodation??

Ndiyo mana lazima upate Kwa kujishikiza then kila mtu hua anafanya mengine ukishakua na uhakika wa mlo na kulala Mzee.

Ukiona mtu kaanza mapema ujue food security na ma accomodation hayakua shida kwake
 
Kama mtaji wa elimu yako ni programming in general hebu fanya kujinoa kwa kuongeza lugha zingine kama android python json n.k harafu ujifunze artificial intelligence zaid huku ukitengeneza projects zako na huku unatafuta kazi pia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ingia hapa .. Hapo naonaga matangazo ya kazi na ya internship pia.. ukishaingia chagua category ya IT & software sometimes kuna had matangazo ya kazi kwa watu wenye 0-1 year experience yaan new graduate ili mradi uweze ku-demonstrate skills zako na performance
Unaweza ukaonesha kuwa unaweza kwa kutumia project zako mwenyewe kwa case ya programming.

Asante mkuu kwa msaada wako ... nafuatilia ulichonibia
 
Habari

Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24, ni mhitimu wa shahada ya Uhandisi wa Mawasiliano (Bsc in Telecommunications Engineering) mwaka huu, 2019 mwezi wa saba.

Dhumuni la uzi huu ni kuwaomba ndugu, jamaa na marafiki wa familia hii ya JamiiForums msaada wa mahala pa kujitolea hata bila malipo.

Nina ufahamu kiasi wa mambo yafuatayo:-
1. Networking
2.Data base (oracle)
3.Programming (c++, java na Php)

Ni nitumaini langu kuwa ombi langu limefika mahala sahihi . Asanteni.
kama umesoma COET njoo pm najua lazima utakuwa kipanga
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom