Mkuu, huyo amesema anasoma sheria, materials yao ni kazi sana kupata mtandaoni ingawa ana uboya fulani ndani yake. (I stand to be corrected )
Sent using Jamii Forums mobile app
Kind of mr matolaWacha uvivu ko unataka kula pesa yetu bure na ufanye nyambafu wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajuaje Kama Kila mwanafunzi anaishi sehemu yenye access ya mtandao, Mimi Kijijini kwetu hakuna hata mawasiliano ya simu hata ukapande mlimani ni kujichosha tu.Acheni upuuzi wenu, hakuna likizo ila vyuo vimefungwa kuepusha msongamano. Hivyo wanafunzi na walimu wanatakiwa kufanyia kazi nyumbani. Hivi baadala ya kusifu juhudi za kuendeleza watoto wetu sie tunakatisha tamaa! what a shame
Usidanganye hakuna pahala ambapo smartphone haitumiki. Najua kuna wengine hadi utembee kilomita 10 uufuate Mtandao lakini utaupata tu. Unaweza kuwa slow lakini utapata unachokitafuta. Mbona watu wanasafiri kufuata K sembuse elimu! Acha hizo mshukuru anayekulazimisha usome, ukiwa ni Jaji utajiona mwenye bahati wakati huyu unayemwona mnoko hutakuwa humkumbuki.Unajuaje Kama Kila mwanafunzi anaishi sehemu yenye access ya mtandao, Mimi Kijijini kwetu hakuna hata mawasiliano ya simu hata ukapande mlimani ni kujichosha tu..
Kwa upande fulani simtetei mwanafunzi mvivu, ila nampinga Mr matola kwa kutokuangalia mazingira ya mwanafunzi anaeishi Kijijini (interior)
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nimeongelea Generally bila kukaa upande wowote, Kati ya kijana wetu wa kusoma na Mr Matola.Usidanganye hakuna pahala ambapo smartphone haitumiki. Najua kuna wengine hadi utembee kilomita 10 uufuate Mtandao lakini utaupata tu. Unaweza kuwa slow lakini utapata unachokitafuta. Mbona watu wanasafiri kufuata K sembuse elimu! Acha hizo mshukuru anayekulazimisha usome, ukiwa ni Jaji utajiona mwenye bahati wakati huyu unayemwona mnoko hutakuwa humkumbuki.
Hautaendelea iwapo hukubali kukosolewa! msomi ni yule anayekubali criticisms na kuzifanzia kazi.Mimi nimeongelea Generally bila kukaa upande wowote, Kati ya kijana wetu wa kusoma na Mr matola.
Wewe umekaa kwa Mr Matola,
All the best katika mawazo yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakili stupidy wa baadaeMleta uzi ni "mwanasheria"mtarajiwa sijui "wakili"
Petro E. Mselewa
Huyo Dogo hamna kitu kichwani pumbavu sana,ndo maana upo wewe ungekuwa unajitambua ungekuwa UDOM, UDSM, Mzumbe na kwingineko. Baada ya kupongeza unaanza kuongea upuuzi humu, afu ukiwa chuo unajifanya MTU Wa bata na mademu vibanda vya CCM, VIP, Miami, shooters, kweboma. Soma wewe Dogo acha kuwa mpuuzi puuzi.Mtoa mada, ulitaka hyo likizo ya dharura ukalale tu kwenu!! Unaongea uongo eti laptop umeacha chuo wanachuo wanavyopenda kuchek movies na seaon unaachaje laptop chuo!!?
Sent using Jamii Forums mobile app