Je, hakuna namna yoyote ile ya kufanya 1 + 1 iwe ni sawa sawa na 10?

what is Binary number system?..

Zinatumika wapi? relate the concept in our real life tuelewe zaidi tulioishia form four...

Naona tu let say, since...
haitokusaidia kama umeishia form 4 achana nayo sio lazima kila kitu ukijue... kwa sasa elewa kuna kitu kinaitwa Number systems... na zipo nyingi hyo Binary ni moja wapo ya system.
 
Back
Top Bottom