Recent content by matyazo

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kati ya Mzumbe na CBE, Chuo gani kizuri kwa Shahada ya Uzamili katika Masoko?

    Wadau mambo vipi? Mdogo wangu anataka kusoma Shahada ya Uzamili katika Masoko (Masters in Marketing). Je, achague chuo gani kati ya hivyo viwili chenye quality education?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kudhibiti maambukizi ya COVID-19: Wasafiri kutoka Tanzania wapigwa marufuku kuingia Uingereza

    Kuna taarifa nilizisikia kwa mtu lakini kwa bahati mbaya sikuzielewa zinamanisha nini hasa.! Eti kwamba raia wa Tanzania tumepigwa marufuku kuingia uingereza kabisa au ukiingia uingereza lazima uende quarantine kwanza...naombeni kunifahamisha kwa yeyote alie na uhakika na habari hiyo
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha Maharage: Mbinu za kulima, Ushauri na Masoko yake

    Wadau mambo vp?..nataka kulima maharage maeneo ya makurunge bagamoyo vp yanaweza stawi kwani ardhi ya eneo lileni nzuri tu
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha matikiti maji (watermelon): Ushauri na Masoko

    Ninaomba mniadd kwenye group la whatsap la kilimo cha tikiti 0762345990
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha matikiti maji (watermelon): Ushauri na Masoko

    Hata mie wadau Email yangu ni ckataga@gmail.com
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha matikiti maji (watermelon): Ushauri na Masoko

    Nitakipataje(
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wadau kwema humu!

    nauliza man sio kwamba nataka kupigwa
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wadau kwema humu!

    Ebana kwa anayejua...hivi siku hizi kuna intake za moja kwa moja kwenda jeshin(jwtz) bila kupitia jkt?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya DV Lottery 2020 kutoka leo saa 7:00 pm East Africa time

    poa poa wakati ukifika nitaenda kupiga
  10. M

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya DV Lottery 2020 kutoka leo saa 7:00 pm East Africa time

    picha ya visa sijapigiwa hata huku uswahilini au ni professional zaidi?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya DV Lottery 2020 kutoka leo saa 7:00 pm East Africa time

    I meant isiwe not issue
  12. M

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya DV Lottery 2020 kutoka leo saa 7:00 pm East Africa time

    keep on hoping man leo yaweza issue ila kesho ikawa...kuna mahitaji gani kwenye hiyo application yani requirement?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya DV Lottery 2020 kutoka leo saa 7:00 pm East Africa time

    tushtuane this year
  14. M

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya DV Lottery 2020 kutoka leo saa 7:00 pm East Africa time

    be blessed
  15. M

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya DV Lottery 2020 kutoka leo saa 7:00 pm East Africa time

    sure kabisa ndo shida zetu ukiona maandishi mengi unakula kona
Back
Top Bottom