Wanaojua watakujibu ila mimi nakusihi kuwa makini na makanjanjaEbana kwa anayejua...hivi siku hizi kuna intake za moja kwa moja kwenda jeshin(jwtz) bila kupitia jkt?
nauliza man sio kwamba nataka kupigwaWanaojua watakujibu ila mimi nakusihi kuwa makini na makanjanja