Jumuiya ya Afrika mashariki Kuna shida kubwa,Hilo hatukatai,lakini Ndugu zetu Wana wa Tanganyika shida yenu Ni kubwa mno,Jei pea M amekuwa ndiye kiongozi mwenye ukaragosi wa kutisha,ndiye anayesema kila kitu huko,Mara atoe Amri Kwa wizara ya elimu,Tena Kwa wizara ya afya,hivi akisema umeshiba...