Texas sio Mkoa, ni Jimbo la Pili kwa Ukubwa Marekani kwa Ukubwa wa Eneo na Wingi wa Watu.
Texas ndilo jimbo lenye kuzalisha umeme mwingi Marekani
Sababu ya Umeme kukatwa ni kutokana na hali ya hewa kuwa ya ubaridi mno kiasi cha kuathiri mifumo ya usafirishaji kwani baridi ni -22 C
Pia barafu imetanda kila mahali.
Texas ni Robo 3 ya Tanzania kwa eneo maana ina 695000km za mraba wakati Tanzania ni 98000km + za mraba
Ina watu 29mil ambayo asilimia 50 ya Tanzania.
Kipato kwa kila mtu ni zaidi ya Milioni 140.
Kuita Texas mkoa ni kosa kubwa mno.
Hapana. Umeme haugandi kwenye baridi, barafu haijachangia. Gridi ya mkoa imeelemewa na mahitaji.Najua kuna barafu limeanguka la kufa mtu huko, je linaweza kuchangia
Kuelemewa kumekuja sasa hivi tu?,Ina maana unataka kusema matumizi yameongezeka ghafla?..Kitu kisichosemwa ni kwamba,sababu kuu ni Wind turbines zimeganda hazizunguki kutokana na barafu kali,hii imeathiri watu zaidi ya 1M texas wanaotegemea umeme wa upepo.Haya wale wazee wa green new deal na green energy hutowasikia kwa sasa,watasema tu eti miundombunu imezidiwa,general term kama hizo huku ukweli wanaujua.Hapana. Umeme haugandi kwenye baridi, barafu haijachangia. Gridi ya mkoa imeelemewa na mahitaji.
MIMAREKANI akili haina wanategemea chanzo kimoja tu cha nishati ona sasa!! WAje wajifunze TanzaniaKuelemewa kumekuja sasa hivi tu?,Ina maana unataka kusema matumizi yameongezeka ghafla?..Kitu kisichosemwa ni kwamba,sababu kuu ni Wind turbines zimeganda hazizunguki kutokana na barafu kali,hii imeathiri watu zaidi ya 1M texas wanaotegemea umeme wa upepo.Haya wale wazee wa green new deal na green energy hutowasikia kwa sasa,watasema tu eti miundombunu imezidiwa,general term kama hizo huku ukweli wanaujua.
Yaani Texas na utajiri wa gesi na mafuta uliopo,haikutakiwa kupata tatizo la umeme hata siku moja,.Rais Joe Biden alisha ban uchimbaji wa mafuta na gesi kwenye mashamba ya serikali,kisa wanahamia kwenye green energy kama hizo wind turbines zilizoganda kwenye barafu.Haya wapambane na hali yao...
Sio chanzo kimoja ndio maana sio Texas yote haina umeme,ni wale wanaotegemea wing turbines tu...MIMAREKANI akili haina wanategemea chanzo kimoja tu cha nishati ona sasa!! WAje wajifunze Tanzania
Halafu wakiwa ufipa huwa wanadanganyana utasikia ohhh Marekani toka ipate uhuru umeme haujawahi katika popote.Chadema kwa porojo hawajamboHapa lazima tu BAVICHA & Ufipa wamlaumu JPM, Sisiemu, Polepole na TANESCO
Umemuumbua!Texas sio Mkoa, ni Jimbo la Pili kwa Ukubwa Marekani kwa Ukubwa wa Eneo na Wingi wa Watu.
Texas ndilo jimbo lenye kuzalisha umeme mwingi Marekani
Sababu ya Umeme kukatwa ni kutokana na hali ya hewa kuwa ya ubaridi mno kiasi cha kuathiri mifumo ya usafirishaji kwani baridi ni -22 C
Pia barafu imetanda kila mahali.
Texas ni Robo 3 ya Tanzania kwa eneo maana ina 695000km za mraba wakati Tanzania ni 98000km + za mraba
Ina watu 29mil ambayo asilimia 50 ya Tanzania.
Kipato kwa kila mtu ni zaidi ya Milioni 140.
Kuita Texas mkoa ni kosa kubwa mno.
Uzuri wa wenzetu changamoto yoyote ile huwa inatafutiwa solutionKuelemewa kumekuja sasa hivi tu?,Ina maana unataka kusema matumizi yameongezeka ghafla?..Kitu kisichosemwa ni kwamba,sababu kuu ni Wind turbines zimeganda hazizunguki kutokana na barafu kali,hii imeathiri watu zaidi ya 1M texas wanaotegemea umeme wa upepo.Haya wale wazee wa green new deal na green energy hutowasikia kwa sasa,watasema tu eti miundombunu imezidiwa,general term kama hizo huku ukweli wanaujua.
Yaani Texas na utajiri wa gesi na mafuta uliopo,haikutakiwa kupata tatizo la umeme hata siku moja,.Rais Joe Biden alisha ban uchimbaji wa mafuta na gesi kwenye mashamba ya serikali,kisa wanahamia kwenye green energy kama hizo wind turbines zilizoganda kwenye barafu.Haya wapambane na hali yao...
Huyu rais kaharibu uchumi kwa muda mfupi alioingia kwa office, sasa watt kutoka majimbo mengine wanakimbilia Texas, kwani kodi na Mazingira ya biashara ni Rafiki, hivyo uhitaji wa nishati na huduma nyingine ni Mkubwa sana, Kiongozi anayetaka kuinua Taifa Lake kiuchumi ajifunze kutoka Texas.
Kama ilivyokuwa kwa mkoa wa California mnamo mwaka jana sasa mambo si mambo viunga vya Texas ambapo mahitaji ya nishati ya umeme yamezidi ugavi, na miundombinu imeelemewa.
Watu wapatao milioni mbili wako gizani. Viongozi wa kisiasa na kijamii wamewaomba wakazi wa baadhi ya viunga vya mkoa huo, ikiwemo wilaya Harris na mji wake mkubwa wa Houston, wajifungie ndani maana nje si salama. Mstahiki Meya Slyveater Turner wa jiji la Houston amelitupia lawana shirika na ugavi wa umeme ERCOT lililotangaza mgao huo na kusema anataka majibu.
Mkuu wa Mkoa wa Texas bwana Greg Abbott amemuomba Rais Biden atangaze hali ya hatari na kuelekeza misaada mkoani humo.
CNN News
Washington Post
The Texas Tribune
Wanaita the great exodus ....Huyu rais kaharibu uchumi kwa muda mfupi alioingia kwa office, sasa watt kutoka majimbo mengine wanakimbilia Texas, kwani kodi na Mazingira ya biashara ni Rafiki, hivyo uhitaji wa nishati na huduma nyingine ni Mkubwa sana, Kiongozi anayetaka kuinua Taifa Lake kiuchumi ajifunze kutoka Texas.
Kama ilivyokuwa kwa mkoa wa California mnamo mwaka jana sasa mambo si mambo viunga vya Texas ambapo mahitaji ya nishati ya umeme yamezidi ugavi, na miundombinu imeelemewa.
Watu wapatao milioni mbili wako gizani. Viongozi wa kisiasa na kijamii wamewaomba wakazi wa baadhi ya viunga vya mkoa huo, ikiwemo wilaya Harris na mji wake mkubwa wa Houston, wajifungie ndani maana nje si salama. Mstahiki Meya Slyveater Turner wa jiji la Houston amelitupia lawana shirika na ugavi wa umeme ERCOT lililotangaza mgao huo na kusema anataka majibu.
Mkuu wa Mkoa wa Texas bwana Greg Abbott amemuomba Rais Biden atangaze hali ya hatari na kuelekeza misaada mkoani humo.
CNN News
Washington Post
The Texas Tribune
Texas kwa akina Tom Cat na mwanae Jerry
Umesahau na GDP yao ni kubwa mnoTexas sio Mkoa, ni Jimbo la Pili kwa Ukubwa Marekani kwa Ukubwa wa Eneo na Wingi wa Watu.