Lowasa kama ataondolewa atakuwa ameponzwa na kuamini katika matumizi ya hela, asingekuwa na vibweka kama vile tayari kampeni imeanza inawezekana angepita
Siasa hutumia sana mtaji wa muda, kama kuna mifumo imara ya kinidhamu ndani ya UKAWA Lowasa anaweza kuwa kiongozi mzuri kwani mifumo hiyo inaweza kumshape, wasiwasi wangu ni historia yake na uwezo wake mkubwa wa KIFEDHA na IMANI yake kwamba yeye tu ndie anafaa kuwa rais.Pia naogopa falsafa...
Ninapojibu topic hii ni kwamba Werema kaachia ngazi, nguli hapa ni Toto Tundu la Lisu, hili toto si nguli tu limegeuka kamusi ya bunge Mpaka Mama Makinda anauliza usahii wa mambo yahusuyo sheria, rejea kikao cha mjadala wa ESCROW.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.