minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 23,320
- 22,325
Du jamaa tishio! Wakimkata watampa cha kuongea bora wamuache alafu wacheze karata abwagwe kwa kura kwenye nec ili kumkata kidomodomo kabisa. Ni mtazamo tu msiniuwe bure bandugu.
Membe kaona kumchafua Lowasa mtandaoni hakutoshi kaamua kuleta waganga wa Kienyeji 100 toka Nchi mbali mbali , wametoka Gambia, mali, misitu ya Amazoni , Congo msumbiji na wazawa wa lindi na kusini kote kawaokota waganga ili wawaroge cc pia wamchape Lowasa ikibidi Azimie kabsa , membe Kwa kweli Goli la mkono analitaka Kwa Adi na uvumba.