Kumekucha Dodoma zengwe laandaliwa kumkata mtu

Kumekucha Dodoma zengwe laandaliwa kumkata mtu

sio zenge anakatwa kwa mambo yafuatayo
1, kutengeneza makundi na kukigawa chama
2, anakashifa na mwizi,ambao umezibitishwa na bunge
3,amekuwa anawatishia vingozi wa chama akiamini mbinu chafu zitamsaidia,hata ungekuwa wewe ukiona mtoto wako anakutishia kukuua fukiza hilo ni jambazi siku moja liatakutoa roho.
4,amekuwa akitoa kauri za kuwafukuza wanaccm kama vile chama ni chake.
5,ujuma mbalimbali zidi ya wanaccm ambao hawamkubali
6,chuki,hauwezi kuwa mwenyekiti wa chama na chuki binafi utakimega chama.
7,uwezo wake binafsi ni mdogo kulinganisha na wengine wote,
8, anatoa rushwa na hongo,
9,makundi ya kirafiki yanayomzunguka yanatia shaka kwa mstakali wa taifa hili

so hana sifa za kuwa mwenyekiti wa ccm na rais wa nchi ,hatakijenga chama bali atakimega na kutengemea marafk wake
kuongoz anchi hii, na yeyote mwenye makundi ndani ccm hana nafasi,

Hv ulishawai ona tai wapo juu ya mti wanasubiri mjus, nyoka atoke nje ya shimo atakavyovamiwa huyo mjusi. .........!? balaa wtz sit down think hard for your betterment
 
Kuweza kusoma alama za nyakati ni muhimu. Sinyakati za Ufisadi Hizi. Sinyakati za mizengwe. Si nyakati za Kumkata mtu kimizengwe hizi.

Ni Nyakati za Lowasa kupumzika kutafakari yote aliyotendea taifa hili katu kuujenga na kuurutubisha ufisadi kwa ajili taifa kuingia hatua ya pili ya Ukombozi.

Mchango wake umekamilika.

HAHITAJIKI TENA KWA LIPI?
 
Bora jambazi lowasa akatwe mapema.Tukichekea nyani tutavuna makapi.

Tulipotoa maoni kwenye katiba mpyaa ya kuuweka miiko ya uongozi na kuwawajibisha mafisadi ikaletwa na Warioba mliikataa.mkaipinga mbaya zaidi mkampiga jaji warioba ,mkamtukana na kumdhalilisha .si mlikataa nyinyi mkasema nyinyi ni wasafi .huo ujasiri wa kumuita lowasa fisadi mnaupata wapi.Mungu na awaalani .mmelaaniwa nyinyi nyoka wenye sumu nyie.mlimpiga jaji warioba mungu atawalipa ni lazima CCM igawikeeee huo ndio mshahara wenu!
 
Hili si kwa ccm peke yake,lowasa adhibitiwe mapema tukicheza nae tutaumia nchi nzima.Lowasa na kundi lake ni hatari kwa ustawi wa taifa zima
 
Ile sera ya mgombea binafsi iLi ishia wapi?
Maana mnaamzingua mtu wetu. Kwa hali hii ya aslimia 27 alizo pata REDET . Ni dhahir kuwa hawamuwez.
 
Mwenyekiti wa Chama-JK mara nyingi tu ameonekana na kusikika akimwita Lowassa Jembe na mtu safi, na kilichomkuta ni ajali ya kisiasa. Kwa hiyo hatutarajii kikao anachokiongoza yeye JK atakana kauli zake ambazo amekuwa akizitoa mchana kweupe bila hata kuhitaji kipaza sauti. Kwa kuwa yeye ndiye mwenyekiti itakuwa vigumu NAPE kutoa majumuisho ya kikao badala ya Mwenyekiti wa kikao ambaye ni JK
 
sio zenge anakatwa kwa mambo yafuatayo
1, kutengeneza makundi na kukigawa chama
2, anakashifa na mwizi,ambao umezibitishwa na bunge
3,amekuwa anawatishia vingozi wa chama akiamini mbinu chafu zitamsaidia,hata ungekuwa wewe ukiona mtoto wako anakutishia kukuua fukiza hilo ni jambazi siku moja liatakutoa roho.
4,amekuwa akitoa kauri za kuwafukuza wanaccm kama vile chama ni chake.
5,ujuma mbalimbali zidi ya wanaccm ambao hawamkubali
6,chuki,hauwezi kuwa mwenyekiti wa chama na chuki binafi utakimega chama.
7,uwezo wake binafsi ni mdogo kulinganisha na wengine wote,
8, anatoa rushwa na hongo,
9,makundi ya kirafiki yanayomzunguka yanatia shaka kwa mstakali wa taifa hili

so hana sifa za kuwa mwenyekiti wa ccm na rais wa nchi ,hatakijenga chama bali atakimega na kutengemea marafk wake
kuongoz anchi hii, na yeyote mwenye makundi ndani ccm hana nafasi,

Mkuu inagwa naona kiswahili chako kina utata kama ambavyo FaizaFoxy atatusaidia kukurekebisha, nina wasiwasi na unayemzungumzia. 2005 sidhani kama ni mbali sana, hatukuwa watoto kiasi cha kutoona yaliyofanyika.

Nasubiri sana hizo 5 bora kuona nani kwenye list si fisadi. I can assure you ndani ya CCM ambaye si fisadi hawezi kuingia kwenye tano bora, unless awe mdhaifu na asiyefaa kuwa rais.

Ningekuwa tajiri ningeweka dau la dola laki 1.
My point is usafi kwa CCM ya sasa si kigezo hata kidogo, kwa kuwa hakuna msafi atayeingia kwenye 3 bora. Kingunge mwenyewe aliyemuasi mungu kwa ajili ya Chama si msafi.
 
Mkuu unamaanisha mafisadi hawajulikani ktk list ya watia nia?

Mkuu wasio mafisadi wanajulikana sana. Lakini angalia kati ya wasio mafisadi, au wanaoonekana wasafi wasafi kidogo ni nani anaweza kuingia kwenye 5 bora? Hakuna hata mmoja. Kigwangala? ambaye msafi msafi kidogo hata kunusa hawezi,

Cha kufanya hapa ni kuwa tuombe mungu apatikane shetani mzuri.
 
Mkuu wasio mafisadi wanajulikana sana. Lakini angalia kati ya wasio mafisadi, au wanaoonekana wasafi wasafi kidogo ni nani anaweza kuingia kwenye 5 bora? Hakuna hata mmoja. Kigwangala? ambaye msafi msafi kidogo hata kunusa hawezi,

Cha kufanya hapa ni kuwa tuombe mungu apatikane shetani mzuri.[/QUOTE

We bana unaleta masihara, unless uniambie huwajui wote waliotangaza nia. Hebu niambie ktk hawa fisadi nani
Makongoro Nyerere, John Magufuli, Jaji Ramadhani, Prof Mwandosya, Mwigulu Nchemba, Dr.Asha Rose Migiro, Karume Jr etc
 
Ndiyo tumaini pekee wanalolitegemea chadema ccm ikate jina la Lowassa otherwise wanaangukia juu ya jiwe.

ccm wakimweka Lowasa UKAWA kampeni yao inakuwa rahisi kwani si msafi kuuzika kwa watu wenye maadili
 
Mkuu wasio mafisadi wanajulikana sana. Lakini angalia kati ya wasio mafisadi, au wanaoonekana wasafi wasafi kidogo ni nani anaweza kuingia kwenye 5 bora? Hakuna hata mmoja. Kigwangala? ambaye msafi msafi kidogo hata kunusa hawezi,

Cha kufanya hapa ni kuwa tuombe mungu apatikane shetani mzuri.[/QUOTE

We bana unaleta masihara, unless uniambie huwajui wote waliotangaza nia. Hebu niambie ktk hawa fisadi nani
Makongoro Nyerere, John Magufuli, Jaji Ramadhani, Prof Mwandosya, Mwigulu Nchemba, Dr.Asha Rose Migiro, Karume Jr etc

Mkuu wasio mafisadi wanajulikana sana. Lakini angalia kati ya wasio mafisadi, au wanaoonekana wasafi wasafi kidogo ni nani anaweza kuingia kwenye 5 bora? Hakuna hata mmoja. Kigwangala? ambaye msafi msafi kidogo hata kunusa hawezi,

Cha kufanya hapa ni kuwa tuombe mungu apatikane shetani mzuri.[/QUOTE

We bana unaleta masihara, unless uniambie huwajui wote waliotangaza nia. Hebu niambie ktk hawa fisadi nani
Makongoro Nyerere, John Magufuli, Jaji Ramadhani, Prof Mwandosya, Mwigulu Nchemba, Dr.Asha Rose Migiro, Karume Jr etc

Kama umenielewa vizuri unaweza kujua ninasema nini. Be realistic. Kwa ufafanuzi tu, among those with slight shot, none is clean. Those who are clean have a very long shot. Wapo ambao wanaonekana wasafiwasafi hao hawazi kuwa rais, haiwezekani hata kidogo. Are you serious Makongoro Nyerere anaweza kuwa rais? Mwigulu Nchemba? Migiro na utumbo wote aliofanya UN? Karume? hawa wote sahau ndugu, they lack everything except for age and citizenship.

Jaribu kuuliza faili la Magufuli, jaribu kuuliza faili la Mwandosya.....inawezekana ufisadi wao haujafikia wa wa waliovuna mabilioni ya Escrow, lakini jina la mafisadi linawafaa kabisa.

Kati ya List hii, jaribu kuuliza kuanzia kashfa za import support, EPA, Escrow, Richmond, Sukari, Radar, angalia nani yumo nani hayumo...

wengine hao wakulima ambao hawapo kwenye system bado haijulikani, lakini hakuna anayeweza kuingia kwenye nafasi 5.

Kati ya hawa kuna wasafi, wezi, mafisadi na wenye uwezo na wasio na uwezo. Inategemea tu unataka rais wa namna gani, huwezi kupata vyote, Labda unaweza kupata viwili,

Stephen Wassira, Makongoro Nyerere, Prof. Sospeter Muhongo, Dk. John Magufuli, Dk. Titus Kamani , Patrick Chokala, William Ngeleja , Luhaga Mpina , Peter Nyalali, Mizengo Pinda, Prof Mark Mwandosya, Dk. Harrison Mwakyembe,Musa Mwapango, Hassy Kitine, Dk. Augustine Mahiga, Monica Mbega, Edward Lowassa, Frederick Sumaye, Dk. Asha Rose Migiro , Dk.Muzzamil Kalokola, Litha Ngowi na Hellen Elinawinga , January Makamba, Samuel Sitta, Dk. Khamis Kigwangallah , Lazaro Nyalandu, Mwigulu Nchemba , Dk. Mwele Malecela, Amina Salum Ali, Dk.Mohamed Gharib Bilal, Balozi Ali Karume na Jaji Augustine Ramadhani, Bernard Membe na Mathias Chikawe, Lidephonce Bilohe, Amos Siyatemi, Samwel John, Leonce Mulenda, Boniface Ndengo, Maliki Marupu na Veronica Kazimoto.

Back
Top Bottom