Recent content by Matokeo1

  1. Matokeo1

    Huyu ni mwanafunzi wa kijiji gani hapa jijini Makete?

    Mzizi mkavu nimekutxt inbox mzee wangu
  2. Matokeo1

    Huyu ni mwanafunzi wa kijiji gani hapa jijini Makete?

    Mzizi mkavu nine Ku pm inbox mzee wangu
  3. Matokeo1

    Kondakta, na Dereva wasimulia mkasa wa mwanafunzi wa NIT kupigwa risasi

    Ndugu zangu uwe manasiasa au usiwe, uwe mwanachama wa chama Fulani au usiwe, uwe ni dini flani au usiwe, hakuna atakeye pona siku kikinuka kikubwa tuweke hitikadi na Mapenzi ya vyama pembeni tujue wapi tunapokosea na tufanyeje kupata suluhu, maana siasa itakufuata hadi hapo kitandani.
  4. Matokeo1

    TAMKO: Baraza la Maaskofu Katoliki walaani mauaji Kibiti na shambulio kwa Tundu Lissu

    Mi katoliki nlikua nawaamini viongz wake sana kipnd cha nyuma kukemea maovu ila siku hizi hawasikiki, waache uoga na unafiki kutokemea maovu hadi wasikie makanisa mengne wamesemaje ndo na wao waongee
  5. Matokeo1

    Msaada

    msaada ndugu zangu afisa tarafa kwa kingereza
  6. Matokeo1

    Accounting package gani ni nzuri kutumiwa kwenye kampuni ya ujenzi wa reli na ujenzi wa barabara?

    ndugu zangu wana JF naombeni mnisaidie afisa tarafa anaitwaje kwa kingereza/
  7. Matokeo1

    Mrejesho: Maumivu ya tumbo sehemu za mbavuni kulia na kushoto

    Wakuu mi ninatatizo ambalo lilinianza kama wiki mbili hivi, mwenyekujua dawa anisaidie jamani, Salome naomba msaada, mi mdomo wangu umekua ukiwaka moto sana usiku, na mchana unakaukaa nikicheka unapasuka unatoa damu, nimepima damu hawajaona tatizo, wakanipa vdonge vya vitamin c, na oracure gel...
  8. Matokeo1

    Natafuta mke wa kuoa ambaye ni docta

    hana shida mkuu wangu, mshtue shangazi aje inbox tu kikubwa ni maelewano, umri sio tatizo kaka, kikubwa ni mkristo na awe mcha Mungu tu
  9. Matokeo1

    Natafuta mke wa kuoa ambaye ni docta

    hana shida mkuu wangu, mshtue shangazi aje inbox tu kikubwa ni maelewano, umri sio tatizo kaka, kikubwa ni mkristo na awe mcha Mungu tu
  10. Matokeo1

    Natafuta mke wa kuoa ambaye ni docta

    namba ya cm tena kiongozi, hapana bana, waje inbox maana nipo serious kabisa
  11. Matokeo1

    Natafuta mke wa kuoa ambaye ni docta

    Za leo wana JF, Natafuta mke wa kuoa ambae ni daktari, awe mkristo, umri kwangu sio kigezo, na awe mcha Mungu, umri wangu ni miaka 32 na elimu yangu ni degree holder, nipo serious mwenye nia ani PM.
  12. Matokeo1

    Wakuu Yetu Microfinance Bank Wameshaita watu?

    na zile za LAPF dodoma mwenye update kama washaita interview wakuu
  13. Matokeo1

    Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

    1.nakunywaga maji mara kwa mara sana, hasa nikiwa dar, naweza kunywa robotatu lina kwa wakati mmoja, na ni zaidi ya mara tano kwa siku 2.sipatagi maumivu wakati wa kukojoa, ila uume huwa na maumivu kwa mbaliiii nikishakojoa bao la kwanza 3.baada yabao la kwanza naweza kukaa dk 15 uume unasimama...
Back
Top Bottom