Recent content by matitu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ethiopia: Binti aliyetekwa akaokolewa na simba watatu

    Mbona hajaandika hiki ulichokisema!simba ndio waliomuokoa kwa idhini ya mungu muumba sio Yesu hapa ni Allah (s.a.w) ndio muokozi
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini na ni namna gani Dr Idrissa Rashidi aliondoka TANESCO?

    Nakumbuka alishauri mitambo ile ya Dowansi(IPTL) inunuliwe na serikali ili kusiwe na gharama za kukodi,mafisadi wakasema et serikali haiwez nunua mitambo mibovu!mitambo hiyohiyo leo serikali inalipia kwa fedha nyingi sana!kwa hili jama namkubali
  3. M

    JamiiForums Tanzania Buriani ndugu zangu , tutaonana akhera

    Hakuna ukafiri kama huu wa kujiua mwenyewe!eti maisha ,cjui msongo wa mawazo!jidanganye et unaenda pumzika!
  4. M

    JamiiForums Tanzania Bei ya Water pump Ndogo (Manual)

    Liverpool:Nahitaji pump ya kuvuta Maji 80m kutoka kisimani(chini ya Ardh),naomba msaada aina ya pump &bei.ili wastani wa Maji kwa 1hr=600mmm
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni sawa mtu kuoa mke wa pili iwapo mkewe yu mgonjwa na hawezi kumtimizia tendo la ndoa?

    Unahakika gani kama yesu emesema usioe zaid ya Mke mmoja?kwn Leo maandiko yanasemaje kuhusu mashoga na wakati wake Alisemaje?ukristo unaendwa kwa Mujibu wa mapdri wanavyataka!
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni sawa mtu kuoa mke wa pili iwapo mkewe yu mgonjwa na hawezi kumtimizia tendo la ndoa?

    Acheni kufuata dini zinzoendeshwa kwa kufuata fikra za watu!yani hata akizn musubiri kifo?
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni sawa mtu kuoa mke wa pili iwapo mkewe yu mgonjwa na hawezi kumtimizia tendo la ndoa?

    Angekua muislam ndio atakuwa amemtendea haki mkewe kwa kuendelea kuwa nae na yy kuoa mwingine,ila kwa huu "UKRISTO ULIVYO NA MAPUNGUFU"pafoko hata kubali,ushauri hamieni ktk uislam dini inayoendana na maumbile yako!
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kulipa kisasi kumenifikisha hapa

    Acha "UZINIFU" km upo serious mwmbie abadili dini ili muoane badala ya kuendelea kuzini et unalipa kisasi?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Tutakusaidia kusajili jina la biashara, kampuni, NGOs, Shule kwa gharama nafuu na kwa muda mfupi

    Nimepata cheti,ila nachotaka kujua kwni sitakiwi kuwa labda na katiba n.k,pili cjui nifanye nn kabla kuitumia?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Tutakusaidia kusajili jina la biashara, kampuni, NGOs, Shule kwa gharama nafuu na kwa muda mfupi

    Nina kampuni inaitwa"MATITU INVERSTMENT &GENERAL SUPPLY"nilishaisajili brera.cna document yoyote ya kampuni,nitakapotaka kuitumia nifanyeje?
  11. M

    JamiiForums Tanzania natafuta nyumba ya kununua mafinga

    IPO songea mjni,karibu tufanye biashara!
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maana halisi ya ndoa ni nini?

    Unbelievable Unataka kwa mujibu wa vitabu vya Dini au katiba au mila na dasturi?
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Madhara ya kulawiti

    Uislam haujaruhusu ,hakuna hadith ya namna hiyo
  14. M

    JamiiForums Tanzania Alipokosea Jakaya Mrisho Kikwete

    Acha "ujuha"kwn nyerere ndie nani?
Back
Top Bottom