Madhara ya kulawiti

Madhara ya kulawiti

Sehemu ya nyuma ni maalum kwa kutolea uchafu( output)sasa ukiigeuza kuwa ni input lazima upate madhara makubwa sana! Hakuna dini yoyote inayo ruhusu uchafu huo labda dini za kishetani

Hapa ndo mnapokosea kusema sehemu ya nyuma ni ya kutolea uchafu. Vp sehemu ya mbele mkojo sio uchafu? Tafuteni namna nyingine ya kuwashawishi watu lakini sio kwa hoja nyepesi kama hivi. Kama ni kutoa uchafu hata papuchi inatoa mkojo
 
Ule ugonjea wa njia ya mkojo hauletwi na hiyo njia ya kufanya mapenzi ni tatizo la kitaalam labda waje madaktari watufafanulie hapa. Ila ni kwamba mara nyingi huwapata wazee. Siwezi kuelezea vizuri ila wataalam wenyewe wanajua. Wacha watu waendelee kufaidi bana usiwaogopeshe
 
Ukisoma suratul baqra 2:230 iinasema wake zenu ni kama konde zenu basi waingilieni mpendavyo, maswahaba wakamuuliza ya a rasul hii aya inamaanisha nini, rasul akawaambia imeruhusu kuwaingilia wake nyuma na mbele maana inaitikadiwa mwanamke anamatundu saba, puani mawili mdomoni masikioni jumla matano na kwenye uchi na nyuma jumla mawili, kwa hiyo ukijumlisha yote unayapata saba. So wengi wanafanya mchezo huo kwasababu wamesoma aya hii na hadithi zake.

Mkuu acha kupotosha dini za watu...kama umeshindwa kuchangia bora ukae kimya coz hakuna mtu atakayekusifu....dini ya kiislam imekemea mambo hayo wazwaz na yameweka adhabu kubwa...na mtu akifa akiwa mganya mambo hayo hata hesabu ni motoni directly...
 
Hapa ndo mnapokosea kusema sehemu ya nyuma ni ya kutolea uchafu. Vp sehemu ya mbele mkojo sio uchafu? Tafuteni namna nyingine ya kuwashawishi watu lakini sio kwa hoja nyepesi kama hivi. Kama ni kutoa uchafu hata papuchi inatoa mkojo

fanya utafiti wako vizur ujue mkojo unatokea wap, ni ushaur tu!
 
We Lutemi wewe! mimi simo ...utatusababishia mabomu ya machozi bure hapa!
Ukisoma suratul baqra 2:230 iinasema wake zenu ni kama konde zenu basi waingilieni mpendavyo, maswahaba wakamuuliza ya a rasul hii aya inamaanisha nini, rasul akawaambia imeruhusu kuwaingilia wake nyuma na mbele maana inaitikadiwa mwanamke anamatundu saba, puani mawili mdomoni masikioni jumla matano na kwenye uchi na nyuma jumla mawili, kwa hiyo ukijumlisha yote unayapata saba. So wengi wanafanya mchezo huo kwasababu wamesoma aya hii na hadithi zake.
 
Acha kupaniki ngoja nikupe vidonge toka hadithi zenu, Shida hamsomi
 
Siku nyingi zilizo pita nilikuwa nasikiaga tu kunamadhara makubwa ya kumuingilia mwanamke kinyume na maumbile lakini wiki iliyopita ndo nimepata funzo la mwaka kwa macho yangu mawili kaka yangu mpendwa amefanyiwa oparesheni ya uume wake kwa sababu ya kuziba kwa mirija ya njia ya uzazi kama bado hayajakutokea acha yasije yakakukuta kama hayo

Mbona Nyani Ngabu hajadhurika mpk leo?
Anazidi kuwa laini tu siku hadi siku.
Mtoto shavu dodo.!
 
Last edited by a moderator:
Sahih Bukhari katika kitabu tafsir qur'an Babu nisaaikum har-thul-Lakum imepokewa kutoka kwa Nafi'i amesema ibn umar (r.a.) alikuwa akisoma qur'an suratul baqra 2 : 223 akauliza hii aya inahusu nini haswa akajibu imeruhusu kuwaingilia wake nyuma.
 
Usihofu hawa waislamu hamna lolote maana asili ya dini yao ni upagani kabisa.
Kwa hiyo wanakataa mambo ambayo wameyaandika wenyewe?
Pia ukitaka kusoma upuuzi wao mwingi kuhusu uislamu soma kitabu kinachoitwa WAULIZENI WANAOFAHAMU kimetungwa na Muhammad tijan As-Samawi. Ameandika dondoo mbalimbali za hadithi za Muhammad
 
Ni kweli hakuna dini yeyote inayoruhusu haya labda uislamu dini ya kishetani.
 
Alafu wewe kikongwe inaonesha huwa unatumia msisimko sana kujibu kuliko logical, nikushauri tu uwe makini na safari hii nimeamua kufuatilia post zote zihusuzo mambo ya dini na nitapost humu fact tupu ili watu waone uozo wa kiislamu
 
Ukisoma suratul baqra 2:230 iinasema wake zenu ni kama konde zenu basi waingilieni mpendavyo, maswahaba wakamuuliza ya a rasul hii aya inamaanisha nini, rasul akawaambia imeruhusu kuwaingilia wake nyuma na mbele maana inaitikadiwa mwanamke anamatundu saba, puani mawili mdomoni masikioni jumla matano na kwenye uchi na nyuma jumla mawili, kwa hiyo ukijumlisha yote unayapata saba. So wengi wanafanya mchezo huo kwasababu wamesoma aya hii na hadithi zake.

lutemi;
Umekosa cha kuandika hadi kuzitukana dini za watu? Dini gani inaruhusu mambo hayo?? Yaani unataka kutuambia kuwa hao tunao waona na hishima zao wanafanya ujinga huo?? Mbona basi wasizibe mikojooo wote. Sitakuamini wala kukusikiliza kwa hilo
 
Ukisoma suratul baqra 2:230 iinasema wake zenu ni kama konde zenu basi waingilieni mpendavyo, maswahaba wakamuuliza ya a rasul hii aya inamaanisha nini, rasul akawaambia imeruhusu kuwaingilia wake nyuma na mbele maana inaitikadiwa mwanamke anamatundu saba, puani mawili mdomoni masikioni jumla matano na kwenye uchi na nyuma jumla mawili, kwa hiyo ukijumlisha yote unayapata saba. So wengi wanafanya mchezo huo kwasababu wamesoma aya hii na hadithi zake.

Wewe ni muongo! SB 2:30 ni hii hapa chani tofauti kabisa na unachotuambia.

2_230.png
 
Hulazimishwi kunisikiliza wala kuniamini mimi nimesoma vitabu vyao Kwahiyo wazuie wasiandike vitabu sio mimi
 
Naona unahaha kujinasua bahati mbaya hapanasuki hapo.
 
Back
Top Bottom