Kwanini na ni namna gani Dr Idrissa Rashidi aliondoka TANESCO?

Alikuwa anabana sana yule Mzee...officin watu akiwa yeye busy kama customer care.... Alikuja na kpn ..key performance indicators... watak lile ni shirika la umma....sema alikuwa jembe...
 
Nimemkumbuka Dr Idrissa baada ya mgao huu mkali wa umeme. Kufuatia rekodi yake nzuri akiwa BOT na kwa mujibu wa watu waliofanya naye kazi TANESCO Dr Rashidi ninaamini aangepewa mamlaka ya kutosha na rasilimali angeweza kuligeuza shirika hili kufanya kazi kwa ufanisi na sina shaka tatizo la umeme linalotukabili sasa lisingekuwa kubwa kiasi hiki. Binafsi namuona Dr Rashidi kama mtu mwenye vision na anayeweza kufanya maamuzi magumu na kuyasimamia.

Ni kwa nini Dr Rashidi aliondoka/aliondolewa TANESCO ilihali alikuwa mtu muafaka to turn around this Company?

Naomba kujua wadau!

Magufuli na Ndulu, Kikwete na Idrissa...
 
Nakumbuka alishauri mitambo ile ya Dowansi(IPTL) inunuliwe na serikali ili kusiwe na gharama za kukodi,mafisadi wakasema et serikali haiwez nunua mitambo mibovu!mitambo hiyohiyo leo serikali inalipia kwa fedha nyingi sana!kwa hili jama namkubali
 
Nakumbuka alishauri mitambo ile ya Dowansi(IPTL) inunuliwe na serikali ili kusiwe na gharama za kukodi,mafisadi wakasema et serikali haiwez nunua mitambo mibovu!mitambo hiyohiyo leo serikali inalipia kwa fedha nyingi sana!kwa hili jama namkubali

Alina Mwakyembe na Sitta walikataa lile Wazo kwa kuwa walijua ikinunuliwa Mitambo ya Dowans ( ya Lowassa na Rostam) basi Fedha zake zingetumika kuwaangamiza Kisiasa na wakafanikiwa kuwashawishi Chadema ya Wakati huo nayo ikaingia Mzima Mzima kwny saga Hilo kupitia Mwanahalisi
 
..Dr.Rashid alituhumiwa ktk ripoti ya kamati ya bunge iliyoongozwa na Edward Ayila kuhusika na ufisadi uliofanyika BOT.

..baada ya hapo akateuliwa kuwa DG wa NBC ambako inasemekana alifanya kazi nzuri ya kurekebisha benki hiyo.

..kutokana na utendaji wake NBC akawa-promoted kwenda kuwa Govenor wa BOT kulekule alikokuwa ametuhumiwa kwa ufisadi.

..alipofika BOT akahusika na kashfa ya ununuzi wa rada with Chenge, na kujichotea pesa yeye na Sumaye toka NPF.

..utendaji wake pale Tanesco haueleweki-eleweki, kwa mfano alingangania sana kununua mitambo ya Dowans, badala ya kujielekeza kununua mitambo mipya. halafu alipoona mawazo yake hayakubaliki he didnt give a chance kwa mawaza mbadala yaliyokuwa yanatolewa. kwa mtizamo wangu ni kama alikuwa anasubiri crisis itokee halafu aseme "..I told you so..."

..I do not deny kwamba he is very SMART lakini sifa hiyo inakuwa negated na ushiriki wake kwenye UFISADI.
duh, sumaye alifanyaje?? ila Leo hii Tupo nae huku chadema
 
duh, sumaye alifanyaje?? ila Leo hii Tupo nae huku chadema

..Magufuli aliuza nyumba za serikali kwa bei ya kutupa leo ni Raisi.

..anaposema hatafukua makaburi muelewe chanzo chake.

..kamati ya bunge ambayo mwenyekiti wake alikuwa Mh.Edward Oyombe Ayila ndiyo ilimuandika vibaya Dr. Idris Rashid.
 
Nimemkumbuka Dr Idrissa baada ya mgao huu mkali wa umeme.

Kufuatia rekodi yake nzuri akiwa BOT na kwa mujibu wa watu waliofanya naye kazi TANESCO Dr Rashidi ninaamini aangepewa mamlaka ya kutosha na rasilimali angeweza kuligeuza shirika hili kufanya kazi kwa ufanisi na sina shaka tatizo la umeme linalotukabili sasa lisingekuwa kubwa kiasi hiki.

Binafsi namuona Dr Rashidi kama mtu mwenye vision na anayeweza kufanya maamuzi magumu na kuyasimamia.

Ni kwa nini Dr Rashidi aliondoka/aliondolewa TANESCO ilihali alikuwa mtu muafaka to turn around this Company?

Naomba kujua wadau!
Kutaka kujiuzia nyumba ya tanesco that was secret
 
Back
Top Bottom