Recent content by matingo02

  1. M

    JamiiForums Tanzania MALAWI: Going to war with Tanzania would be foolish

    With the type of the President we have now! You my friend Malawians , I feel mercy on you. Before you even start mobilisation, Our battalions will have completely smashed out the whole of Lilongwe and Blantyre live alone Zomba Sent using Jamii Forums mobile app
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wabunge wote bila kujali vyama vyenu CUF imewaletea Bi Sonia kuwa mgombea wa bunge la EALA.

    Lipumba katuletea Mrembo aisee, Lipumba kiboko
  3. M

    JamiiForums Tanzania Anguko kubwa la uchumi: Shirika mama: Wafanyakazi zaidi ya 200 waomba kuacha kazi kisa mteule wa JPM

    Mimi nahisi ni TBC kwa bwana Ayoub Ryoba
  4. M

    JamiiForums Tanzania Majaji wa kuwatumbua ni hawa hapa

    Jaji hachunguzwi kwa utaratibu huo soma Katiba vizuri
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu hajamshangaa waziri Mwakyembe juu ya yeye kugombea urais TLS asema neno

    Tundu Lissu ana masters degree ya chuo cha Warwick Uingereza
  6. M

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole kuwa mkweli

    Nilivyoelewa mimi he was kidding/mocking kuhusu viwanda sio kama wewe ulivyomchukulia serious
  7. M

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mimi ni mwalimu wa Shule ya msingi nafundisha Wilaya ya Temeke Dsm, nataka mwalimu wa kubadilishana kutoka Ubungo. Yeye aende Temeke mimi nije Ubungo. Nina Tsd
  8. M

    JamiiForums Tanzania Makonda aahidi kuwasaka mashoga mahotelini

    Hivi Zilla ze G naye ni shoga? Mbona post zako zote zinatetea mashoga? Pamoja na kwamba Makonda simkubali kutokana na kukurupuka kwenye maamuzi mengi lakini kwenye hili la ushoga namuunga mkono
  9. M

    JamiiForums Tanzania Walimu na Madaktari waliokuwa wanagoma wapo wapi?

    Kwahiyo migomo ya madaktari ilikuwepo wakati wa Nyerere, migomo ya wanafunzi wa vyuo ilikuwepo hadi Marehemu S.S akachapwa viboko, Wakati wa Mkapa Kigwangala alioongoza alioongoza mgomo! Ndo maana naipenda jamii forum, mleta mada kajipange upya
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wachumi tusaidieni, Mtaani hali ngumu fedha hakuna biashara imekuwa ngumu. Pesa iko wapi?

    Mimi nachapa kazi lakini pesa imeota mbawa
  11. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli anafuata nyayo za Baba wa Taifa Mwl Nyerere

    Kuna Sheria ya cyber crime Act na nyingine imesainiwa juzi ya The Media Services Act, usije ukatikuta matatizoni buree!
  12. M

    JamiiForums Tanzania Prof. Rwekaza S. Mukandala amaliza muda wake UDSM. Awaaga wana UDSM

    Next VC ni Prof Luoga nini?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Boss ananitaka kingono, Nipo njia panda naomba ushauri

    Kama vipi waone pccb, waeleze mkasa wote kama ulivyo cozi kisheria hiyo ni rushwa ya ngono na ikithibitika kazi yako itanusurika though itakujengea mazingira magumu ya kikazi lakini utaponya vizazi vijavyo
  14. M

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye, skendo ya kutafunwa dola mil 20 za kiwanda cha cement Lindi anaifahamu?

    Jamani hizo hela zililiwa wakati Nape sio Mbunge kwahiyo hiyo tuhuma haimuhusu
  15. M

    JamiiForums Tanzania Hivi ni halali na sahihi Rais kuziita nchi jirani vi nchi vingine vingine?

    Ni msukuma kwa hiyo kwa msukuma kudogosha vitu ni jambo la kawaida, kumbukeni vijisenti
Back
Top Bottom