Majaji wa kuwatumbua ni hawa hapa

kinondoniilala

JF-Expert Member
Feb 27, 2015
987
765
Habarini wana jamvi...!

Ujumbe huu ukufikie Kaimu Jaji Mkuu kwa kukupa taarifa kwamba Majaji walioharibu kesi za madawa ya kulevya na wanaosubiri impeachment kutoka kwako ni Mh. Jaji PENDO MSUYA na Mh, Jaji Dr. FAIZ TWAIB....(Reference: Gazeti la Jamhuri, Agosti 27 - 02 September, 2013)

Natumaini Commissioner General wa TDCEA, Dr. Rogers Siyanga unazo taarifa kwa kuwa wewe umetokea TISS taarifa za majaji hawa unazo, ikiwa pamoja na utajiri wanaomiliki, na inasemekana mmoja wa majaji hawa alihamishiwa mtwara kuwa Jaji Mfawidhi ili apande kuwa Jaji wa Rufani na baadae awe Jaji Mkuu, lakini skendo zake za kusamehe walipa kodi wakubwa wa TRA katika ile TRIBUNAL COURT YA KODI ndivyo vitu vilivyomuangusha, natoa wito kwa JPM na TISS kwa ujumla Mheshimiwa Jaji huyu pamoja na PhD yake lakini anahusika na UHUJUMU UCHUMI, wa kusamehe walipa kodi alipokuwa na kofia ya mwenyekiti wa TRIBUNAL YA RUFAA ZA KODI, na TLS wamchunguze ikibidi wamfutie Registration yake...na inadaiwa ni swahiba mkubwa sana wa Rais wa Awamu zilizopita....na hizi ni zama za uwazi na ukweli, hakuna chuki wala hatumuonei mtu...!

JPM tuma vyombo vyako kwa huyu Mh. Dr. FAIZ TWAIB...!

Nawasilisha...!
 
Asante kwa taarifa, natumaini zitafanyiwa kazi... Hii inanikumbusha enzi zile Tanzania kila mtu ni askari.

MIMI NATUMAINI KWA AWAMU HII YA JPM, HAKUNA ATAKAYEPONA...NATUMAINI ROGERS SIYANGA ANA MAJINA TAYARI YA IMPEACHMENT AMBAO MAJAJI HAWA LAZIMA KATIKA HIYO LIST WAMO....JPM TUMA VYOMBO VYAKO VYA TISS, PCCB, MAADILI, ET AL....WAKAWACHUNGUZE MAJAJI HAWA PAMOJA NA MALI ZAO WANAZOMILIKI...HAWASTAHILI KABISA KATIKA UONGOZI WAKO WA AWAMU YA TANO...!
 
Habarini wana jamvi...!

Ujumbe huu ukufikie Kaimu Jaji Mkuu kwa kukupa taarifa kwamba Majaji walioharibu kesi za madawa ya kulevya na wanaosubiri impeachment kutoka kwako ni Mh. Jaji PENDO MSUYA na Mh, Jaji Dr. FAIZ TWAIB....(Reference: Gazeti la Jamhuri, Agosti 27 - 02 September, 2013)

Natumaini Commissioner General wa TDCEA, Dr. Rogers Siyanga unazo taarifa kwa kuwa wewe umetokea TISS taarifa za majaji hawa unazo, ikiwa pamoja na utajiri wanaomiliki, na inasemekana mmoja wa majaji hawa alihamishiwa mtwara kuwa Jaji Mfawidhi ili apande kuwa Jaji wa Rufani na baadae awe Jaji Mkuu, lakini skendo zake za kusamehe walipa kodi wakubwa wa TRA katika ile TRIBUNAL COURT YA KODI ndivyo vitu vilivyomuangusha, natoa wito kwa JPM na TISS kwa ujumla Mheshimiwa Jaji huyu pamoja na PhD yake lakini anahusika na UHUJUMU UCHUMI, wa kusamehe walipa kodi alipokuwa na kofia ya mwenyekiti wa TRIBUNAL YA RUFAA ZA KODI, na TLS wamchunguze ikibidi wamfutie Registration yake...na inadaiwa ni swahiba mkubwa sana wa Rais wa Awamu zilizopita....na hizi ni zama za uwazi na ukweli, hakuna chuki wala hatumuonei mtu...!

JPM tuma vyombo vyako kwa huyu Mh. Dr. FAIZ TWAIB...!

Nawasilisha...!
Jaji hachunguzwi kwa utaratibu huo soma Katiba vizuri
 
Muda unayoyoma jamani, hatukumchagua ili ashughulike na kuwafuta kazi watumishi wa umma tu!!!
Shughuli yake kuu ni kukuza uchumi wa mtu mmoja mmoja na taifa kwa ujumla kwa kuweka mazingira rafiki.

Amebakia kunusa harufu ya usaha wa majipu tu!

Si awaachie wateule wake watimize wajibu wao?
 
Nahisi harufu ya chuki hapa hasa ulipouhusianisha urafiki na awamu iliyopita, hata hivyo sidhani itakua rahisi kama unavyofikiria maana kuna utaratibu wa kuwachunguza majaji pindi wanapokuwa na malalamiko, pia tambua mambo ya siasa kuyaingiza mahakamani ni sawa na kuchanganya maji na mafuta
 
LAKIMA AZMA HIYO HAITATIMIZWA KAMA KUNA WAHUJUMU UCHUMI KAMA HAWA MAJAJI...!
 
NA NDIYO MAANA ILI KUONDOKANA NA HIZO CHUKI BINAFSI, RAIS ATUME VYOMBO VYAKE VYA UCHUNGUZE VIKACHUNGUZE ILI TUSIJE SEMA MTU KAONEWA...HAKUNA ALIYE JUU YA SHERIA
 
LAKIMA AZMA HIYO HAITATIMIZWA KAMA KUNA WAHUJUMU UCHUMI KAMA HAWA MAJAJI...!
Miezi miwili ya mwanzo ilitosha kusafisha nyumba, sasa miaka karibu yote mitano itaishia kusafisha nyumba na kuzuia watu kutangaza njaa.
 
Sasa nyie mnaoleta mambo haya mnafanya mambo haya bila kujua:
- Mnathibitisha kuwa kweli Mahakama yetu haiko huru maana majaji wanashtakiwa kwa rais
-Kwamba mahakimu na majaji wanafanya kazi kwa hofu ya kushtakiwa
-Uvumi wa TISS kutumika kuwatisha majaji kwa kurekodi simu zao na kwenda kuwaona kuhusu
kesi fulani fulani, ni za kweli
-Kwamba TISS haina kazi nyingine hivi sasa kuchunguza mambo haya ya kuoneana wivu
-Tume ya Mahakama na vyombo vingine viiachie TISS kazi hizi

Twaafa
 
Nadhani Mahakama inahitaji overhauling kabisa maana mhhhhhh tukisema sana nao wanaweza kuveuka kama wabunge wetu wakasema tunawavunjia heshima lakini JPM hapa hajapafumua bado. Isiangaliwe kwa hili tu wanavuruga sehemu nyingi tu
 
Habarini wana jamvi...!

Ujumbe huu ukufikie Kaimu Jaji Mkuu kwa kukupa taarifa kwamba Majaji walioharibu kesi za madawa ya kulevya na wanaosubiri impeachment kutoka kwako ni Mh. Jaji PENDO MSUYA na Mh, Jaji Dr. FAIZ TWAIB....(Reference: Gazeti la Jamhuri, Agosti 27 - 02 September, 2013)

Natumaini Commissioner General wa TDCEA, Dr. Rogers Siyanga unazo taarifa kwa kuwa wewe umetokea TISS taarifa za majaji hawa unazo, ikiwa pamoja na utajiri wanaomiliki, na inasemekana mmoja wa majaji hawa alihamishiwa mtwara kuwa Jaji Mfawidhi ili apande kuwa Jaji wa Rufani na baadae awe Jaji Mkuu, lakini skendo zake za kusamehe walipa kodi wakubwa wa TRA katika ile TRIBUNAL COURT YA KODI ndivyo vitu vilivyomuangusha, natoa wito kwa JPM na TISS kwa ujumla Mheshimiwa Jaji huyu pamoja na PhD yake lakini anahusika na UHUJUMU UCHUMI, wa kusamehe walipa kodi alipokuwa na kofia ya mwenyekiti wa TRIBUNAL YA RUFAA ZA KODI, na TLS wamchunguze ikibidi wamfutie Registration yake...na inadaiwa ni swahiba mkubwa sana wa Rais wa Awamu zilizopita....na hizi ni zama za uwazi na ukweli, hakuna chuki wala hatumuonei mtu...!

JPM tuma vyombo vyako kwa huyu Mh. Dr. FAIZ TWAIB...!

Nawasilisha...!
Ongezea na wale waliosilikiliza ile kesi ya samaki na kuwapa ushindi yaani mwizi nimkamate kwenye nyumba yangu na kidhibiti halafu nimpeleke mahakani eti anionekane malaika na fidia nimlipe mpaka leo nikiwaza huwa napata kizunguzungu.
 
Back
Top Bottom