Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,676
- 126,848
Siasa kwenye ubora wake.
Huyo jamaa ameandika kwa kejeliWafanyakazi wa umma yaani walioajiriwa na serikali au taasisi au mashirika ya umma , unazungumza kujengwa kwa kiwanda serikali ina viwanda hapa tz?. someni kwa lengo la kuelewa kwanza ndiyo ujibu baadaya ya kuelewa si kujibu tu.
Salary slip naona umetokea baada ya mwezi kuisha huuKumsikiliza huyu mtu kwakweli inataka moyo maana anavyojibu maswali sometimes inatia hasira sana na anadhani watanzania hatuoni usanii anaoufanya wa kukwepa maswali ya msingi,kujibu blaa blaa na kutoka nje ya maswali anayoulizwa.
Kilichonikera ni kutetea uhakiki usioisha wa wa watumishi wa umma baada ya kuulizwa swali na mtangazaji wa star tv ni lini zoezi hili litafika mwisho.
Katika jibu lake anatetea kuwa zoezi hilo linahusu idadi kubwa ya watumishi wa umma ambao amesema wanafikia 1000,000!
Je,hii ni kweli?
Watumishi wa umma wanafika milioni moja?
Kama nimesikia vibaya kuhusu hiyo idadi niko tayari kukosolewa lakini hivyo ndivyo nilivyomsikia tena karudia kama mara mbili kutaja hiyo idadi.
Nilichogundua Polepole ni bingwa wa kupotezea maswali, kujibu maswali kiujumlajumla,kutumia muda mrefu kuelezea au kufafanua mambo yaliyo nje ya swali au maswali anayoulizwa huku akiwepa maswali ya msingi.
Mtangazaji Cyprian Msiba leo kupitia Star tv umejitahidi kumbana asitoke nje ya maswali husika na umetusaidia sana kujua huyo bwana ni mjanja mjanja katika kujibu maswali anayoulizwa.
Mliofuatilia kipindi hiki bila shaka mtakuwa na mengine mengi ya kuongezea.
Mada ilikuwa ni miaka 40 ya CCM.
PolePole wewe ni member hapa JF kwahiyo kama unahisi nachosema sio hasa kuhusu hiyo idadi ya watumishi ulioitamka tunakuomba ujitokeza hapa ukanushe au utoe ufafanuzi lakini kiukweli ulivyojibu baadhi ya maswali mengi binafsi hujaniridhisha mimi kama mimi.
Nilivyoelewa mimi he was kidding/mocking kuhusu viwanda sio kama wewe ulivyomchukulia seriousWafanyakazi wa umma yaani walioajiriwa na serikali au taasisi au mashirika ya umma , unazungumza kujengwa kwa kiwanda serikali ina viwanda hapa tz?. someni kwa lengo la kuelewa kwanza ndiyo ujibu baadaya ya kuelewa si kujibu tu.
Nimeona hasira anajibu utumbo mpaka anakera!
Imebidi nibadili channel niweke EATV tu niendelee kuenjoy muziki
Basi hata hayo hayo anayotetea atetee kwa ufasaha pumba tupu
Shame on you pole pole
Mungu wangu: pole sanaHilo la wafanyakazi milioni moja anaweza kuwa sawa, maana kuna viwanda vingi sana vimejengwa hadi sasa!
Huyu pole pole yupo vizuri sana kwa propaganda, Chadema wajipange sana kukabiliana nae.
Polepole yupo tofauti sana na Nape, Huyu ananguvu za ushawishi tofauti na Nape aliekuwa anaropoka tu.
Huyu DOGO white KABISA, ni puppet politician, nikimsikiliza sioni cha maana anachoongea, sana sana anajitahidi kuiteka hadhira KWA mbwembwe kumfurahisha aliyempa kazi, ila ni mganga njaa tu. KATIBA YETU IKO WAPI NA PESA MLIKULA?Huyu pole pole yupo vizuri sana kwa propaganda, Chadema wajipange sana kukabiliana nae.
Polepole yupo tofauti sana na Nape, Huyu ananguvu za ushawishi tofauti na Nape aliekuwa anaropoka tu.
kilchosikitisha ni pale alipofananisha ccm na mtume Muhamad eti mtume Muhamad alikuja kwa watu waliopote akiwa na maana kwamba Bwana Yesu pia alikuja kwa watu waliopotea,hiyo sio kweli kwa waislamu kwani kwa imani ya waislamu Muhamad alikuja kwa watu wote baya zaidi anaongea mambo hayo huku watu wote wakimsikiliza kupitia runinga,hiyo ni kupotosha watu kwenye dini yao,hivyo anachotakiwa ni kuwaomba msamaha waislamu kama anavyoomba msamaha kwa waliyokosea mwaka 2015 vinginevyo anatakiwa kuwekwa kwenye kundi la uchochezi kwa waislamu
Tuko wengi mkuu wa kupewa pole, sasa viongozi ndivyo wanasema na wanataka tusipinge sasa tutafanyaje!Mungu wangu: pole sana