Recent content by Mathias

  1. Mathias

    JamiiForums Tanzania MKIKIMKIKI - Mdahalo wa vyama vya Siasa vikijadili masuala ya Elimu na Afya

    kwanini hamkutanishi wagombea? vyama vya siasa sidhani kama vina mashiko majira aya.
  2. Mathias

    JamiiForums Tanzania TANESCO wamekata Umeme sehemu kubwa ya Nchi ya Tanzania, leo 29th Aug 2015

    Hivi umeme wa gas bado?
  3. Mathias

    JamiiForums Tanzania TANESCO wamekata Umeme sehemu kubwa ya Nchi ya Tanzania, leo 29th Aug 2015

    Pia Mbweni, Dar
  4. Mathias

    JamiiForums Tanzania Lipi bora, SimTank au PolyTank?

    Wakuu nashukuru sana kwa ushauri wenu, maoni ya wengi hapa naona ni sim tank. Nimechukua ushauri wenu na ntanunua sim tank. Asanteni sana.
  5. Mathias

    JamiiForums Tanzania Lipi bora, SimTank au PolyTank?

    Wakuu heshima kwenu, Nataka kununua tank la maji, lipi bora zaidi, Sim tank au Poly Tank?
  6. Mathias

    JamiiForums Tanzania Updates - Pres. Obama in Tanzania July 01-02, 2013

    Ngoja tuone mzee wetu atakavyojibu
  7. Mathias

    JamiiForums Tanzania Wazee wa Dar es Salaam ni akina nani?

    Mkuu Maggid, heshima kwako! Japo sitojaribu kuwaeleza hawa wazee wa Dar es Salaam ni watu gani nani-wa aina gani, ntasema kidogo yanayohusiana na maongezi yao na bwana mkubwa. Binafsi nafikiri hii kasumba imepitwa na wakati na vile vile viongozi wetu wamepitwa na wakati. Kwa kifupi hawana...
  8. Mathias

    JamiiForums Tanzania Luhanjo atoa ripoti, Jairo arudishwa kazini

    Ngoja nikanywe nilale nisinzie nisahau machungu ya Jairo na nduguze
  9. Mathias

    JamiiForums Tanzania Akaunti za Msekwa, Luhanjo zichunguzwe

    Lakini wewe si ni ccm? sasa wachunguzwe ili iweje? na unayetaka achunguzwe si ni makamu mwenyekiti wa chama! manake yake nini? Na waliokwisha kuchunguzwa wako wapi? Kuna ubovu katika chama na uongozi mzima na ili hamtaki kulibali endeleeni hivyo hivyo mpaka mtakapoambiwa nchi imeuzwa na...
  10. Mathias

    JamiiForums Tanzania Bunge kutooneshwa live kwenye TV, kisa CHADEMA

    Mkuu Mwana wa Daudi Nafikiri ulisoma kwenye gazeti la Raia Mwema ilikuwa ni Makala ya Chesi Mpilipili, labda kama makala inayofanana iliandikiwa kwenye Rai pia
  11. Mathias

    JamiiForums Tanzania Katibu wa CHADEMA Kilimanjaro Akalishwa chini katika Kongamano Moshi

    Huu ni upuuzi na ujinga wa kupitiliza, hizi sherehe za miaka 50 ya uhuru kwanini tuongelee mafanikio? Ingekuwa jambo la busara kuongelea changamoto na wapi tumeshindwa na tufanyeje kwa miaka 20-50 ijayo. Hii tabia ya kutaka kusifiwa niya kijinga naniya viongozi wasiopenda kuwajibika. Kama...
  12. Mathias

    JamiiForums Tanzania Kutoka Bungeni Dodoma: Julai 18, 2011

    Mkuu Edson Mbona iyo link ulotoa inaitaji password? Baada ya kudownload vlc na kukocopy and paste link yako inataka password na user name! any suluhisho?
  13. Mathias

    JamiiForums Tanzania Kutoka Bungeni Dodoma: Julai 18, 2011

    Thanks Mkuu naona kama vile kuna tatizo katika connection labda baadae bunge likirudi unless kama kuna alternative nyingine
  14. Mathias

    JamiiForums Tanzania Kutoka Bungeni Dodoma: Julai 18, 2011

    Wakuu hivi kuna online radio yoyote au tv inayorusha bunge? kwa watu tulio nje ya bongo tupate kuona au kusikia! msaada plse
  15. Mathias

    JamiiForums Tanzania Kutoka Bungeni Dodoma: Julai 18, 2011

    Amechoka kubanwa na gamba naona anajivua pole pole
Back
Top Bottom