Recent content by MATHIAS KABYEMERA

  1. MATHIAS KABYEMERA

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Walokole nchini Uganda ' wamchefua ' Rais Museveni na Yeye bila kuwachelewesha kawatolea ' uvivu ' kwa makavu!

    Kuomba wa sauti sio kwamba Mungu ni Kiziwi ila wao wanawalenga binadamu wanaopita wavutiwe nao waokoke
  2. MATHIAS KABYEMERA

    JamiiForums Tanzania Yupo wapi Edie Ganzel

    APUMUZIKE KWA AMANI
  3. MATHIAS KABYEMERA

    JamiiForums Tanzania Yupo wapi Edie Ganzel

    Hata huko watu wanajiuliza alipo!
  4. MATHIAS KABYEMERA

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aagiza Mmiliki wa Musoma Hotel anyang'anywe, alipishwe fidia..

    Tufanyie kaz rais ili watu watubu
  5. MATHIAS KABYEMERA

    JamiiForums Tanzania Yupo wapi Edie Ganzel

    Kama ni utunzi wa hadithi, namkumbuka sana Edie Ganzel. Sina uhakika kama ana uhusiano na Stanley Ganzel wa TBC ila hadithi yake ya “SIKUWA FUKARA” naikumbuka sana. Nikiona wanavyotahabika wanufaika wa serikali za awamu ya pili hadi nne, waliofutwa vyeti feki, waliotumbuliwa n.k, natamani...
  6. MATHIAS KABYEMERA

    JamiiForums Tanzania Hongera Naibu Waziri wa Elimu kwa tamko la kudhibiti viboko mashuleni

    aje na adhabu mbadala! KADEA hawapigi viboko lakini adhabu zao utaomba viboko tu. Maana umaweza ukaambiwa ulale gatini na mlinzi mpaka asubuhi, au usonge ugali wa shule nzima na uive.
  7. MATHIAS KABYEMERA

    JamiiForums Tanzania Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

    uvumilie kwamba kila siku ufanye kwa wiki tatu au usifanye kwa wiki tatu? Sentesi tata
  8. MATHIAS KABYEMERA

    JamiiForums Tanzania ..........atoke........asitoke

    Mhhh! Jamani! Wabongo hawana dogo! Muachie aliyemteua ndie aamue
  9. MATHIAS KABYEMERA

    JamiiForums Tanzania Waalimu wa secondary hasa kanda ya ziwa wapewe silaha ili kujilinda dhidi ya wanafunzi watukutu.

    wameishaanza kuua hata kabla ya kupewa siraha
  10. MATHIAS KABYEMERA

    JamiiForums Tanzania Rais, saidia kupunguza gharama za vifaa vya Ujenzi watanzania tujenge makazi yetu!

    Imezuiwa kuingizwa nchini!
  11. MATHIAS KABYEMERA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi mwanaume unaanzaje kumlilia mwanamke?

    Hakuna cha kufikwa huo ni uzezeta tu!
  12. MATHIAS KABYEMERA

    JamiiForums Tanzania Rais, saidia kupunguza gharama za vifaa vya Ujenzi watanzania tujenge makazi yetu!

    Nadhani bado watanzania mnakumbuka kuwa Kagera tulikumbwa na tetemeko la ardhi. Nyumba zetu nyingi zilibomoka kabisa na nyingine nyingi zilipata nyufa ambazo zililazimu kubomolewa kabisa au zilihitaji matengenezo makubwa. Kwa bahati mbaya sisi raia hatukupata msaada wa vifaa vya ujenzi au ruzuku...
  13. MATHIAS KABYEMERA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dedicate nyimbo kwa wapenzi wako wa zamani

    Mkiachana imetosha yanini tena kumtungia taarabu?
Back
Top Bottom