We mwanadamu unayejua mengi...niache na ukima wangu...lakini najua ukweli huuma. Ukiangalia vizuri upande wa kushoto kuna jumba la 20flr linaitwa J. Complex lina crane juu bado ilikuwa ikiundwa. Hili jumba lllimalizwa kitambo sana ndio kuonyesha picha zako n za kale. Kutoka wakati huo Mombasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.