Nadhani ndugu unajaribu kuchangamsha jukwaa lakini kama unamaanisha basi you are wrong,umeshindwa kutofautisha kati ya ndoa na harusi
Ndoa inahitaji michakato ya kawaida sana, mume/ mke mtarajiwa, mashahidi/ wasimamizi, mchungaji/ shekhe
Harusi ni michakato ya ziada sana kiasi kwamba hata visipo...
Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Joseph Butiku amesema asingekubali kushiriki katika Tume hiyo laiti kama angejua CCM ingeingilia mchakato huo. Butiku ambaye alitoa kauli hizo kwa nyakati tofauti, wikiendi iliyopita kwenye Mabaraza ya Katiba ya...
Kaka huo si ugonjwa,
Bali fahamu zako na akili zako zimeji-tune hivyo na umezielekeza huko, japo kushawishika au kuvutiwa na mtu si lazima awe single hata kwa wake za watu wanamvuto, japo ni hatari sana kwa maisha yako ukizingatia hali ilivyobadilika sasa magonjwa n.k
USHAURI
Ushauri wangu hilo...
Hello sisters wana Forum
Naitwa Paul 32yrs, naishi hapa dsm-Kimara, natafuta mchumba ambaye tuitengeneza kesho yetu.
Kwa dada aliye tayari tafadhali tuwasiliane. Anitumie Private Message (PM) kwa mawasiliano zaidi
>Umri: miaka 20-29 ikizidi sana 30
>Haiba: Urefu wa wastani lakini asiwe mfupi...
Ndugu yangu hili suala halihitaji uwe na digrii au kiwango kikubwa
Ni suala la kawaida na utaratibu tu, dawa ni kujirekebisha, sio tabia njema kula na kutafuna kama nguruwe, si mpendwa wako tu hata watu wote tunaojua ustaarabu wa kula hatulikubali, hivyo mridhishe mpendwa wako kwa kufanya kile...
Sasa ndugu yangu kama mhusika anajua kinachoendelea lakini yupo kimya iweje wewe uumie?
Let it go, umefanya kazi kama rafiki wa familia ya rafiki yako, umemueleza ukweli wa mambo sasa ni jukumu lake kusuka au kunyoa, vinginevyo kinachofuata kama hautakuwa makini ni kugeukwa na shemejio na kama...
Ok,
Kimsingi inaweza iswe na tatizo sasa au katika maisha, lakini kisaikolojia kuna tatizo hasa kwa mwanaume kama ifuatvyo
1. Hatakuwa huru mbele ya public appearrance
2. Infiriority itamuandama si kwa wakati huu itachukua muda baada ya kuishi kwa kipindi fulani
Please listen to your heart.
Maana ushauri wetu una mipaka, lakini wewe mhusika ndiye mliyeonana physically atleast you have somthing to explain, lakin kwa upande wangu nakushauri sikiliza moyo wako,
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.