Dating mpopo!

Dating mpopo!

:A S thumbs_up: Thanks for your care and concern. Kumbe kaka zangu mnajali.
 
Unamaanisha nini makaratasi!!!

Duh! Lazima utakua 4x4byfar as in Umefungashia. Ndio zao wapopo wanapenda sana mahaga! Hiyo gia aliyo kuingilia ya kutaka usisite unapohitaji msahada ndio gia yao namba moja wapopo. Mpopo anaweza kutumia kiasi chochote cha feza kukuingiza line na akisha kushika, kwisha khabari yako! Besides hiyo 4x4 yako wapopo wanaua ndege wawili kwa jiwe moja!! Somewhere somehow atakutumia, kama sio makaratasi basi punda wake na sembe atakudatisha wakwanza wewe. Nimetoa my personal view although it is a general one, people are not the same! Changanya na zako
 
Umeongea ukweli mtupu. Date or marry a popo at your own peril!
They can do the unthinkables chunga sana. Dada yangu aliolewa na popo wakaenda likizo Lagos basi alitoweka, akapotezwa ghafla na hadi leo hakuna anayejua yuko wapi including mumewe.
 
Hata sikushauri hawa watu kwanza wamesha owa kwao pia vicheche ila wamebarikiwa maneno matanuu
 
Mpe tigo kwanza halafu umsikilizie, ukiona hajasepa ndio umpe papuchii
 
We kama anakupenda mwambie atimize malengo yenu.pia tumia akiri kwa sasa umekata ku do anataka akuache na akikuonja si utamaliza laza take care my frnd
 
Darling...
Wapopo wapo smart sana!!sana! Mno!

Hawi na wewe kama hana anachohitaji kwako at any cost!

Haogopi kuhonga hata millions awe nawe!

Wapo so complicated, harsh, selfish n tighting people while ye kwao anamke ama somewhre kimada!

Yashazoea kupelekeshana na wake zao sa wakipata wadada wa East ambao ni humble n kind akipenda kapenda,na kasumba ya wadada hata umdate mtu wa mpakani mwa TZ utaonekana upo juu,sasa ndo wanatake advantage.

So nakushauri,we kula fanya plans zako,endelea na yako.
🙂

****Ila kumbuka mume mwema anatoka kwa Mungu,na mwombe atakupa wa ubavu wako.

***So bcos you started with the ''nationality'' thing,cudnt resist telling you how i know from myexperience,though it says all men are from the same mom&dad in their characters,its just a matter of time.
 
Thanks so much for your ushauri. Mpaka sasa nimeshajionea yakunitosha tuu akili kichwani mwangu...raha yao they know much na hapo ndo nitakapo faidia na mimi mpaka aje kuelewa na mfaidi...imekula kwake. Many many thanks again and again.
 
Jamani ndgu zangu habarini,

Nimetokea kupendwa na mpopo mmoja kijana wa makamo hivi. He is younger than me like 6yrs hv! I wish to fall kwake pia ila naogopa. I wish to know his whereabouts ila anaonekana kuwa msiria sana. Yeye anadai anataka mke wa kuishi nae. Tuko kwenye date for more than a month now ila hatuja Do mpaka sasa. Ss anaonekana kuchoka na mimi kwa ajili sitaki ku DO nae mpaka nimjue vizuri. Hivi ni kama ni mume wa kweli siatanisikiza. Je ni lazima ku DO ndo ishara ya kumuonyesha kuwa unampenda? Wanaume nisaidieni na mawazo yenu ya kiume. :help:

hawa si ni wale wa west africa! teh teh teh!!!
 
mtoa mada kwanza ili uweze pata ushauri wa maana lazima uweka maneno ambayo sote tutaelewa.
usemapo mpopo mm napata hisia kwamba ni mtu asiye kuwa na msimamo, lkn kumbe mpopo ni mnigeria huku wengine wakidhani ni half cast sasa je unategema tukushauri vipi??
 
Thanks so much for your ushauri. Mpaka sasa nimeshajionea yakunitosha tuu akili kichwani mwangu...raha yao they know much na hapo ndo nitakapo faidia na mimi mpaka aje kuelewa na mfaidi...imekula kwake. Many many thanks again and again.

daaah!!!
yaani niliposoma hii post mwili umetetemeka.
aisee!!!................maisha ni kuviziana nashukuru nilizaliwa zamani duh!!
 
Please listen to your heart.
Maana ushauri wetu una mipaka, lakini wewe mhusika ndiye mliyeonana physically atleast you have somthing to explain, lakin kwa upande wangu nakushauri sikiliza moyo wako,
 
Back
Top Bottom