Mwana ume 42 NA Mwanamke 49 wanataka kuoana

Mwana ume 42 NA Mwanamke 49 wanataka kuoana

Huku ni kufatilia maisha ya watu wewe inakuhusu nin?
 
Huja sema nani 42 na nani49
Je mwanaume ndiye 42 na mwanamke 49??????
Hebu weka sawa tushauri tuonavyo ndugu:A S confused:

Kumbe title inasemaje? Soma heading ya thread kwanza kabla ya kuchangia
 
Kumbe title inasemaje? Soma heading ya thread kwanza kabla ya kuchangia

Ok,
Kimsingi inaweza iswe na tatizo sasa au katika maisha, lakini kisaikolojia kuna tatizo hasa kwa mwanaume kama ifuatvyo
1. Hatakuwa huru mbele ya public appearrance
2. Infiriority itamuandama si kwa wakati huu itachukua muda baada ya kuishi kwa kipindi fulani
 
Nimewaelewa Wadau, basi NA waendelee kula bata KWA rahaaaaaaaaaaaaaaa zao!!!!
 
Back
Top Bottom