Recent content by Mathew A

  1. M

    JamiiForums Tanzania Muundo wa Binadamu na sifa zake ili kufikia hatma yako

    Nimekuelewa mkuu lakin nafsi kama kiunganishi Kati mwili na roho kwa nn nafs l Haina nguvu? kuzidi roho
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ulikosea nini maishani hautaki mwingine arudie kosa kama hilo

    Kumwacha mtu niliyempenda zaidi aende kirahisi, sijapata mwingine kama yule tena , ushauri wangu ni huu kama unampenda mtu na unaona kabisa unavutiwa nae na yeye anakupenda shetani akiingia Kati mwondoe shetani na hakikisha unabaki na umpendae.
  3. M

    JamiiForums Tanzania America ,Europe na Asia wapewe mauwa yao

    Tupo pamoja katika hili maana mi naona ngozi nyeusi asili yetu tunapenda starehe Sana mfano kuna tafiti ilifanyika japani kuangazia ni kwa nini kuna kundi kubwa la vijana hawaoi? yani wapo single , wakagundua kwamba watu hawana mda wa kupumzika wapo bize na kazi, hawapati ule mda wa kutafuta...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mbwiga Wa Mbwiguke wa Clouds FM amehamia Times FM

    Mi nazani amepewa dili nono ndio maana
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ninaekereka au Kuchoshwa na hili linaloendelea sasa katika Redio nyingi za Tanzania nipo peke yangu au?

    Mi nafikiri ni kuwaonea tu maana hizo vipindi ndio vinapendwa na hii ni ishara kwamba tatizo ni jamii ya kitanzania sio redio
  6. M

    JamiiForums Tanzania USHUHUDA: Nilivyokutana na ushirikina kazini

    Kweli mi mwenyewe siamin
  7. M

    JamiiForums Tanzania Uarabu na Uislamu ni vitu viwili tofauti

    Ivi ni kweli mkuu? Mi siamini kabisa
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hakuna kitu kibaya kama kujihisi umeathirika HIV

    Mkuu umesema kweli kabisa but you can't change anything
  9. M

    JamiiForums Tanzania Hii ndio sababu namfananisha Ole Sabaya na Moringe Sokoine

    Unamjua??
  10. M

    JamiiForums Tanzania UVCCM wanahangaika kuchanganya maji na mafuta, Haiwezekani!

    Uzi wa kiwango sana
  11. M

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa: Rais ameagiza kufunguliwa kwa Online TV tu na sio Vyombo vingine vya Habari

    Hivi gazeti sio chombo cha habari?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Umasikini na siasa

    Kama kichwa kinavyojielekeza ninakusudia kueleza ni kwa namna gani umaskini ambao umekua ndio nyenzo muhimu katika kukamata nyazfa muhimu Serikalini na jinsi unasababisha umaskini kuongezeka badala ya kutumika kuupunguza. Tutakubaliana sote Kwamba viongozi wengi wamekua wakijipambanua kuwa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Tafsiri potofu ya agizo la Rais Samia kuhusu kodi itaigharimu Serikali

    Nafikiri hapa waliopo kwenye hizi sekta za ukusanyaji hawajafurahishwa na hili agizo sababu ni moja tu ilikua inatoa mwanya wa rushwa.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mama kabadili upepo. CCM wamegeuka wapinzani wa mama, na wapinzani wamegeuka kuwa wafuasi wa mama

    Binafsi nilimpenda hata kabla ya kuapa sijui kwa nini lakini nilikua nawaambia wenzangu moyo wangu ulikua mweupe kwake Nawasalimu kwa jina la jamuhuri ya muungano.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ingekuwa ni hotuba ya mwendazake ungesikia...

    Kweli mwendazake atakumbukwa sana kwa staili yake ya uongozi.
Back
Top Bottom