Recent content by mathabane

  1. M

    "Virungu" vimezidi...

    Wadada ndo wanaongoza kwa mizinga kwa kutumia mwavuli wa mapenzi
  2. M

    Mungu anataka aabudiwe kupitia Masanamu?

    We muabudu masanamu unadhani ukienda hospitali ama shule ya inayomilikiwa na kanisa lako lakuabudu masanamu utapewa huduma bure kisa muabudu sanamu mwenzao?
  3. M

    Mungu anataka aabudiwe kupitia Masanamu?

    Mwangu naona wgalatia wa kiktoliki unaanza kuwapa za kichwa hao waabudu masanamu ila ukiwabana wanayakana
  4. M

    Mungu anataka aabudiwe kupitia Masanamu?

    Hahaha. Walei wa kikatiliki mnabudu masanamu ila mkiambiwa mnakuwa wkali kama gongo la mapapai[emoji16][emoji16]
  5. M

    Mungu anataka aabudiwe kupitia Masanamu?

    Mimi ni mkatoliki pure mzee. Unaenda unainama mbele ya lisanmu nakuanza kutaja shida zako na sala zako mbele yanlisnamu la kununua halafu useme hiyo sio ibada? Limsalaba la mpingo linatembezwa barabarani na huku tunaimba na kusifu hiyo sio ibad?
  6. M

    Mungu anataka aabudiwe kupitia Masanamu?

    Hiyo taarifa ya heklu kupambwa na masanmu we uliipata wapi kama sio shobo zako za kikatoliki?
  7. M

    Mungu anataka aabudiwe kupitia Masanamu?

    Bro uskatae ukwli ulio wazi. Sisi wakatoliki ibada bila sanamu haijkamilika. Huwa tunaenda kubusu sanamu la msalaba Huwa tunakwenda kwenye masanmu yaliyoko maknisni na kupiga mgoti mbele yao na kufanya ibada za kutaka masanamu hayo yatuombee. Pale sait Joseph lipo sanamu la bikira malia...
  8. M

    Mungu anataka aabudiwe kupitia Masanamu?

    Wewe wataka ugomvi na wakatoliki. Kanisa katoliki masanamu kama yoote yaani. 1 Sanamu la Yese 2 . Sanamu la bikira maria 3 Sanamu la Yosefu 4. Masannu ya malaika 5. Na masanamu mengine sijui ni akina nani wale
  9. M

    Mfumo wa dini tunaouishi wengi unatuongeza umasikini

    ukiraka ukorofishana na mchungaji gusa kapu la sadaka
  10. M

    Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    Hongera sana na ahsanteni statimes. Mmenitendea haki sana leo. 1. Jana nilifanya malipo ya kifurushi cha 21000 bahati mbaya nikakosea tarakimu ya mwisho ya smatcard. Kwa vile nililipia kwa nmb mobile niliona ujumbe wa nmb mobile kuwa nimelipia kifurushi cha ststimes ila bado chanels...
  11. M

    Ni Kosa gani la ovyo ulilowahi kufanya tangu uanze kuendesha gari?

    Kuna siku natoka kazini nafika home, kichwa kinejaa stress nikajikuta nagonga ukuta wa home badala ya kukanyaga breki nikakanyaga acceleator
  12. M

    Sakata la Kupungua kwa uwajibikaji na umahiri wa madaktari wa afya nchini Tanzania

    Mi naona ukiondoa Muhimbili madaktari wengi huko mahospitalini ni qa michongo tu
  13. M

    Ndugu zangu punguzeni umalaya utanishukuru baadae.

    Sio waache umalaya, sema waache kuhonga
  14. M

    Unamchukuliaje mtu ambaye mnapokutana kwa muda mfupi tu, tayari ameshajinadi sifa zake zote?

    Mpaka aanze kujisanua hivyo kwko jua tatizo ni wewe mwenyewe
Back
Top Bottom