hometown
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 939
- 1,315
Vipi humu mmeamkaje jamani?naona mko powA kabisa za masiku mingi?kila siku nakuonaga unaenda kazini

hihihi kikiki
Ahaa sie mambo bado magumu bana ila kuna michongo nafatilia mambo yatakuwa powa sana
Wewe naweza kukuchukulia hata mchunba ukampa shem ya kuendea sokoni kama ka ist waonaje mkuu
Saaa mkuu nina shida ndugu yangu japo hata ka fifute hivi ntakurudishia kesho
Naona umejiwahi kujitetea kwa kuwa huu ni mwisho wa mwezi
Ebu nigei aasee

hihihi kikikiAhaa sie mambo bado magumu bana ila kuna michongo nafatilia mambo yatakuwa powa sana