Recent content by MATESLAA

  1. MATESLAA

    Ingekuaje ????

    kama uyo mzeee anatisha asiambiwe ukweli
  2. MATESLAA

    wageni wengine bwana

    Nimeipenda hiyo, huyo mgeni noma.
  3. MATESLAA

    Kila Mtanzania mwenye uchungu na elimu yetu aandamane Machi 25, 2013

    nyie andamanen tuu ila akifa mtu tusisikie makelele, kwan hakuna njia nyingine za kupresent hzo idea zenu? Kuna data zipo zinaonyesha sahv uwezo wa waalim umeshuka sana tena waalim hawa wanaoajiriwa kwa wingi hv karbun ni kajanjaaa
  4. MATESLAA

    Mliosoma au kuifahamu Tumaini - Iringa, je hii ni kweli?

    mm cjawah kukisikia kwann asingeenda vyuo vinavyotambulika bse enzi zake tcu hawakuwepo so alaumiwe nan?
  5. MATESLAA

    Hivi chuo kikuu ndio sehemu ya kubebea mimba.......oh kidagho

    wew chuo gani? Hata hapa udm wapo sana hasa waalim
  6. MATESLAA

    Kiswahili

    kwann usipeleka kwenye jukwaa la lugha
  7. MATESLAA

    Wajue vinara wa migomo ya UDSM ambao sasa ni waheshimiwa

    kuwa siriazi acha idea za kibongo flavaa
  8. MATESLAA

    why udsm...school bus....watu wanalipa nauli..ya usafili ..wakati its school bus.....

    wew inaelekea husom hapa mbana hzo gari c za chuo ni za mtu binafsi tu, wew toka lin kukawa na utartatibu mzuri hivyo kwenye gvmt insttn
  9. MATESLAA

    Natafuta mpenzi [msichana mzuri}

    huna akili wew nenda mirembe, hakuna kitu kama hicho dunia hii kwanz unajichagulia sifa hzo kwan wew n nan?@??? Na una nin??????
  10. MATESLAA

    Stamina wazo la leo vs roma 2o30!!..nani mkareee!!!

    huwez ukamlinganisha roma na huyo sharobaro hata cku moja roma ana themes za ukweli.
  11. MATESLAA

    Matokeo kidato cha pili 2012 hatimae yatolewa, mkoa wa D'salaam washika mkia.

    mbona cjaona takwim za komkoa zinazoonyesha dar n ya mwisho kama heading inavyosema??????
  12. MATESLAA

    Hivi udom ni chuo au high level school

    high level kwan we ulikuwa hujui??
Back
Top Bottom