Recent content by matengele

  1. M

    Mpango wa kuvuruga Mchakato wa Katiba Mpya

    We waache tu watuletee iyo mahakama yao ya kadhi,kama itakuwa kwa ajili ya waislamu tu apo sawa ila tofauti na hapo patachimbika!hata huku Mbeya ndo hatutaki hata kuisikia kabisa labda kama itakua kwa ajili ya mikoa ya dar,tanga,kigoma,mtwara na lindi apo sawa!
  2. M

    Arusha city council charges youths for collecting waste!

    It seems like the amount being charged by the council is very highly!i advice the arusha council to recheck the level of charges and if possible to eliminate it completely!
  3. M

    Mara tunataka dhahabu yetu(nyamongo).

    Wana mtwara wamechoka kudanganywa.rais aliwaahidi kujenga kiwanda cha mbolea lakini imekua kimya!nadhan iyo gesi ingetumika kuzalisha umeme kwa ajili y icho kiwanda cha mbolea na pia huo umeme ungechochea uwanzishwaji wa viwanda vingne vingi.ivi kwan lakin kla k2 knaelekezwa dar?ndo maana mikoa...
  4. M

    Mara tunataka dhahabu yetu(nyamongo).

    wana mtwara hawana maana kwamba gesi itumike mtwara peke yake.wanachohitaji wao gesi izalishe umeme kule kule mtwara ili kuvutia uanzishwaji wa viwanda na kujenga soko la ajira kwa wana mtwara kwan wamekuw nyuma kwa muda mrefu!
  5. M

    Gas ni ya watanzania si mtwara

    Nadhani jamaa hajaelewa madai ya wana mtwara.ebana nakushauri ufatilie vizur madai ya hao wana mtwara ndipo utajua uje na thread gani ya maana ambayo kila mmoja atakuelewa!
  6. M

    Natafuta Mchumba wa kuoana naye.

    dada fatma nadhan umesahau jambo moja kwamba mapenzi hayachagui dini.nadhan hapo umekua mbaguzi kidogo!
  7. M

    new

    Hello what?nadhan huyu mgeni halijui atendalo anahitaj kuelimishwa kwamba hapa si facebook! Ndugu yetu hapa jf unatoa mada yako ili wadau waweze kuchangia na wewe kuchangia mada za wadau wengine.nadhan utakua umeelewa!u r most welcome!
  8. M

    "ATM CLOSED" nakerwa sana na hii taarifa kwenye ATM za TANZANIA!.

    Izo benki z bongo!yaani mtu unapoelekea ATM unakua na mawili kupata au kukosa hii hali ni hatari sana.na siku za weekend ndo usiseme hali inakua mbaya zaidi.unaweza ukafa kwa ugonjwa au njaa wakati una pesa za kutosha benki.na huu utaratibu wa ku-renew bank accounts ndo wanaboa mpaka...
  9. M

    CLOUDS si redio ya Kusikiliza

    Hao Clouds wana matatizo,hata kucheza nyimbo za wasanii mpaka wapewe rushwa ndo huzicheza.ndo maana mheshimiwa Sugu alikua na bifu nao kwa ajil y ujinga wao!worry not siku zao znahesabika!
  10. M

    The World's Ugliest Woman

    Mbona uyo mzuri tu!nadhan hujafanya utafiti vzr,tembelea upya kuna wabaya zaidi ya uyo!
  11. M

    Je hapo ulipo mitambo ya analogi imezimwa?

    mbeya bado tunatumia analogia kama kawa mpaka mwezi wa 4.
  12. M

    Msaada;mshahara wa profesa

    Kuna ngazi mbalimbali za uprofesor sasa sijajua wew unazungumzia uprofesa ktk ngazi gan?kuna associate professors,full professor and full bright professor!most of professors in tanzania are associate professors.mishahara ya associate professors ina range from 2millions to 3millions!
  13. M

    Kuhusu unaoitwa uponyaji na tv zetu

    Nowadays fake healings are everywhere!hao wanaojifanya wagonjwa si kwel kwmb wagonjwa ila wana-act!cha msingi wew shika amri kumi za Mungu,timiza mapenzi ya Mungu yote na kama wew ni tajiri basi uza mali zako zote na uwagawie maskini,hii ndo njia peke e ya kuuona ufalme wa Mungu!
  14. M

    Polisi Mbeya na Kashifa ya Mwanafunzi Kubakwa na Mwalimu Wake

    Kwa maadili ya wanafunzi wa siku hizi kwel kabisa walimu wanakabiliwa na changamoto nyingi.wanafunzi wa kike wanafikia hatua za kuwatega walimu wao na ikibidi mpaka kuwatongoza!nadhan elimu itolewe hasa kwa wanafunzi wa kike maana wao ndo wahanga wakubwa ktk mahusiano haya!inawezekana kbs kuwa...
  15. M

    Mwanamke anatafutwa

    U r nt serious!mke hatafutwi kw style iyo!rudi kanisani kwanza!
Back
Top Bottom