Recent content by Maswai T

  1. Maswai T

    JamiiForums Tanzania Mwendokasi ni mateso!!

    Hawawezi kupanda humo watakosa pumzi sie wenyewe tunapanda kwa vile hatuna usafiri mwingine, yaani wachukue hatua haraka hali sio nzuri kabisa hata maambukizi ya maradhi ni rahisi.
  2. Maswai T

    JamiiForums Tanzania Mwendokasi ni mateso!!

    Kimara hadi Kkoo hakuna daladala Mkuu
  3. Maswai T

    JamiiForums Tanzania Pwani: Basi la Kampuni ya Maning Nice limepata ajali ya kupinduka

    [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
  4. Maswai T

    JamiiForums Tanzania Mwendokasi ni mateso!!

    Ipo siku videvu vitabonyea sababu mara nyingi kidevu kinakuwa kwenye bega la abiria mwenzako
  5. Maswai T

    JamiiForums Tanzania Mwendokasi ni mateso!!

    [emoji15] [emoji15] [emoji2] [emoji2] inawezekana kabisa ndivyo
  6. Maswai T

    JamiiForums Tanzania Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    Startimes mnachungulia kwa jicho moja maoni na malalamiko yetu. Yaani hamjibu wala hamyafanyii kazi.
  7. Maswai T

    JamiiForums Tanzania Mwendokasi ni mateso!!

    Wanavyojaa kuibiwa lazima
  8. Maswai T

    JamiiForums Tanzania Mwendokasi ni mateso!!

    Kwanza abiria wanakata tiketi, kisha wanasubiri gari zaidi ya saa moja. Kinachosikitisha ni kuwa baadhi ya vituo havina viti vya kupumzika abiria wala vyoo. Yaani abiria wa mwendokasi wamekuwa kama watumwa kwani ukisha ingia kituoni huwezi kutoka kwenda kujisaidia nje ya kituo kisha urudi na...
  9. Maswai T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yanga leo watafungwa 4-0

    Acha utani buana
  10. Maswai T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uko wapi Japhet Kaseba????

    Nakumbuka uliitanga Tanzania katika ulimwengu Kick box. Je uko wapi ama nani ajuae alipo?
  11. Maswai T

    JamiiForums Tanzania Kuipa Dodoma hadhi ya Jiji ni lazima kujadiliwe

    Ok
  12. Maswai T

    JamiiForums Tanzania Tabia za watoto katika kuzaliwa wa kwanza - wa mwisho

    Kweli kabisa, nikizingatia kuwa mie ni first born
  13. Maswai T

    JamiiForums Tanzania Makongoro Mahanga: Makonda, ukiteuliwa Soma na elewa vizuri mamlaka, madaraka na mipaka yako ya kazi

    Ndoo maana hutopata urais kirahisi kwa roho hiyo uliyonayo
  14. Maswai T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada meseji zinachelewa kufika

    Kweli ni kero
Back
Top Bottom