Pwani: Basi la Kampuni ya Maning Nice limepata ajali ya kupinduka

Pwani: Basi la Kampuni ya Maning Nice limepata ajali ya kupinduka

Sijui burst au mini..maana sehemu zile pako sawa tu ingawa kuna kina Na down isiyo Kali sana
Nyongeza; kwa maeneo yale barabara ni nyembamba kwahivyo usipokuwa makini lolote litatokea
 
Basi la Kampuni ya MANING NICE ambalo lililokuwa linafanya safari zake kutoka Mtwara kwenda Morogoro, limepata ajali ya kupinduka maeneo ya Kisevule karibu na kiwanda cha Cement mchana wa leo, hakuna vifo vilivyoripotiwa kwa sasa. Taarifa zaidi ya ajali hiyo tutawataarifu kadri tutakavyopata kutoka kwa mamlaka husika.View attachment 778492
Duu.. poleni sana huu mwezi ramadhani unataka kuanza tena vibaya na hizi ajali mungu mkubwa kama hamna waliokufa
 
Si tumeambiwa mabasi yamefungwa ving'amuzi kudhibiti mwendo, hilo imekuwaje likaanguka kwa speed isiyozidi kilometer 80 kwa saa
 
Doh, ahsante,
Nilikosea kuandika but nilimaanisha hiyo Km/hr

Gari katika 80 KPH ni controllable kabisa, ungeona madereva wa mashangingi ya serikali wanavyojisugua kwenye viti gari likipoteza mwendo ndipo utaamini kuwa 80 ni ndogo sana na salama
 
Gari katika 80 KPH ni controllable kabisa, ungeona madereva wa mashangingi ya serikali wanavyojisugua kwenye viti gari likipoteza mwendo ndipo utaamini kuwa 80 ni ndogo sana na salama
Nawaza hii speed akitokea mlevi barabarani anakatiza ghafla ukataka kumkwepa basi kupona ni 50-50 hapa.
 
Back
Top Bottom