dadaake
JF-Expert Member
- Jan 10, 2017
- 1,115
- 1,085
Hahahahahahaa umesema kweli mkuumm ni first born nimeolewa na mzaliwa wa kati hanaga haraka yupo tu hana neno hata kwa maana anaona mambo yanaenda tu ila mm sasa ni moto mpk mda mwingne najistukia japo mda mwing ananiacha nicontrol issues bila kumvunjia heshima yake