Recent content by MASUNGA ONE

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba kesho ndani ya Iringa Mjini

    wakuu wa jf naomba watu wa iringa wazuse kwenda kwny mkutano wa huyo msema hovyo,tupo pamoja saaana tu
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe asinzia bungeni asubuhi hii

    Jamaa wengine bhana,usione mtu anatafakari mambo ya nchi eti anasinzia,naomba tuwe great thinker base kama low of jf inavyosema sio tu limuradi eti umeleta hoja
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hivi CHADEMA bado wapo?

    CDM ndo mpago wa Mungu,hakuna kingine cha kuleta mabadiliko kwa watu bali cdm pia mawanzo yako ni mgando kweli,unaamini utabili wa mtu anauraia wa sehemu mbili mstuni na uraiani kama huna hoja lala
  4. M

    JamiiForums Tanzania Werema kuomba Msamaha pekee hakutoshi, aachie ngazi!

    Sasa ifike mahali wale wazanzibari waserikali mbili wafikiri mara mbili kwa hili,kwamba serikali yaho haiwatambui kabisa ndio maana AG WEREMA kasema akaulize kwenu zanzibar siyo hapa akiwa na maana ya tanganyika,sasa nyinyi ambao mnatoka zanzibari halafu mnaunga hoja bungeni munahakiri kweli?si...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ukawa waanza ziara ya siku 10 Bara

    Tuko pamoja hapo ukawa naomba ziara ianzie huku rock city,hapo ccm wataisoma namba,tanganyika lazima ipatikane
  6. M

    JamiiForums Tanzania UKAWA ndani ya Arusha tarehe 16/5/2014 - usikose

    Mtanganyika amka kudai haki yako
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ndugai anusurika kupigwa na wananchi

    Haki ya mtu hudaiwa na kudai lazima damu imwangike hivyo hacha wapige tu maana mizengo peter pinda kashasema wapige tu,nawaunga mkono kabisa maisha ni magunu huku mtaani na kazi hamna then mh ni 300000 per day it's right for that...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya bilion 39 zatengwa kuboresha Daftari la wapiga kura 2015!

    Daftari ni razma ritoke kwa sababu ni tumia kodi zetu sasa kwnn mseme serikali sikivu,na uchaguzi huu kama daftari nitatoka kwl kama si polojo nyinyimu utaoja joto sakara
  9. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wamefunga goli la "kisigino"

    Naomba Mungu aubariki ukawa,na uchukue nchi hii ili adabu ipatikane kwa watumishi na wara rushwa
  10. M

    JamiiForums Tanzania Vituo vya kupiga kura kuongezeka maradufu nchini

    Nadhani kwangu mie ni hekima na busara unaotaka kutumika kwa nec,naomba kabla ya kuongeza vituo hivyo watoe daftari la wapiga kura kwanza vijana na wengine ambao hawakuwemo wajiandishe na tarifa zitoke mapema zaidi then ndio wafikri namna ya kuongeza vituo.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Warioba Anataka Nini Hasa?

    Anachotaka mh warioba ni kwamba serikali iache kuwatisha wananch na kuwapa hofu ya jeshi kuchukua nchi kama serikali (fendalation) 3 zitapita,pili anataka maoni ya wananchi yaheshimiwe maana si yake,tatu anauliza ipi yaliye msariti mwlm nyerere maana aliacha nchi moja serikali mbili na mzinga...
  12. M

    JamiiForums Tanzania UKAWA kufungua kesi mahakamani leo

    Hapo ni sawa wakuu,watanganyika tutakuwa nao pamoja ili ipatikane
Back
Top Bottom