Recent content by MASTERSERIES

  1. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amteua Profesa Lema kuwa M/kiti wa mamlaka ya viwanja vya ndege Tanzania (TAA)

    Hivi MTU anaweza kuwa Mwenyekiti wa bodi mbili tofauti?maana kumbukumbu zinaonyesha Prof ni Mkiti wa bodi ya wahandisi vilevile!!!
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la watafiti kuchomwa moto, Lingeweza kuzuiliwa

    Kwa mujibu wa ITV taratibu zote hizo ziifuatwa na polisi wamekuta copy ya taarifa kila sehemu ndio maana DED kasimamishwa kazi
  3. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Nguo za Mtumba: Ushauri na Muongozo wa Kuifanya kwa Mafanikio

    Mkuu umenikumbusha kabalagala nilikuwa pale wakati All shabab wametoka kuua watu. Security ilikuwa ni shida.
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Valentine Story! Guess Who Is Getting Married? Marriage games

    Thanks Lara 1 Baba Melisa kanifundisha kitu mchepuko sio dili
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Valentine Story! Guess Who Is Getting Married? Marriage games

    Lara 1 itabidi ufanye mpango watu tukulipe maana pamoja na stress za majipu watu wanaona nacheka tu peke yangu hapa ofisini.vipi mwenzetu leo una nini?kumbe mangi ananichekesha hapa
  6. M

    JamiiForums Tanzania Heri ya Jumatano ya Majivu na kipindi cha Kwaresma

    Ubarikiwe mkuu
  7. M

    JamiiForums Tanzania LAPF acheni ubabaishaji na usanii kwenye ajira zenu

    Project Engineer
  8. M

    JamiiForums Tanzania LAPF acheni ubabaishaji na usanii kwenye ajira zenu

    Jana jumatatu SAA kumi na moja jioni nilipigiwa simu na mtu wa LAPF kuwa natakiwa kuhudhuria interview Dodoma jumatano tareh 16/09 saa tano asbuhi.sasa maswali ya kujiuliza: 1.hivi mtu huko Dar unapigiwa simu jioni utajipanga saa ngapi ili kesho uanze safari ukizingatia ofisi zimeshafungwa na...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Laurean Rugambwa - Mkurugenzi Mkuu wa MSD Mteule wa Rais

    Hayo ni majungu nadhani huyu huihui ni Mwaifani mkurugenzi anayekaimu anahangaika sana kupata hii nafasi lakini kachemsha.Rugambwa ripoti haraka watu MSD tumechoka na huyu fisadi papa Mwaifani
  10. M

    JamiiForums Tanzania Daftari la BVR

    Huku hali mbaya mbagala nimefika saa saba usiku ni mtu wa mia mbili
  11. M

    JamiiForums Tanzania MTIKISIKO CCM: Pinda si shwari!

    Umevurugwa wewe
  12. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kujitowa UKAWA

    Kijana kamalizeni yenu kwanza na wagombea wenu wanawake ndo uje huku.Dr Slaa anatosha
Back
Top Bottom