kabanga
Platinum Member
- Dec 12, 2011
- 37,644
- 19,039
Mangi alikuwa na shaka ya kutoamini kweli mtoto mkali na alivyomshamba kweli....!!!Naona mangi kathibitisha ilikua homa tu,angezingua tena ningehisi sio riziki...
Mangi alikuwa na shaka ya kutoamini kweli mtoto mkali na alivyomshamba kweli....!!!Naona mangi kathibitisha ilikua homa tu,angezingua tena ningehisi sio riziki...
Upo vizuri, halafu sikutegemea kama na kwenye mikitano pia.Umeonaaaaaa! Ila kama ipo ipo tu, kama hki yangu itanifata hata kaburiniii
Lara one isije kuwa unatutafsiria kutoka kwenye lugha moja kuja kwenye Kiswahili alafu unayaweka kwenye maisha yetu ya kibongoo maana sio kwa kipaji hiki alafu unatakiwa Dili hata ya kuandika scprit hata kwenye bongo movie hata ukiamua kwenda kumuuzia shigongo hadithi Kama hii lazima upate mpunga wako mzuri tu kuliko kuligawa bureee humu kwa watu wasio na shukuran wallah tena mi binafsi naumia na TALanta yako Kama vile yangu embu fikiri Mara mbili hadithi kama hii ukiwekea vionjo zaidi kwa gazeti inakwenda zaidi ya week sits Ama nane embu jaribu kutunga nyingine kama hii alafu mface shigongo kwani ni mtu poa anaweza kukuongezea hata kanauli
Duh@lara1 na mm nataka izo tecniques alizopewa Anny,napanga mechi ya mashambulizi hapa!! Itabidi nikupm unipe in details
Vp?????
Nakuona unafanya maandalizi,ila muulize vzuri lara1 km izo tekniki zina apply kwa team KLM....hao ni sugu sanaVp?????
Aaaah wanaume wote sawa wen it comes to the right techniques awe team KLM au Mangi..Nakuona unafanya maandalizi,ila muulize vzuri lara1 km izo tekniki zina apply kwa team KLM....hao ni sugu sana
Ouchhhhhhh!
ITAENDELEA SAA 10 JIONI, NA KUISHA SAA 4 USIKU WA LEO. Nimekomaaa kutoa story ndefu hiviiiii! Itabidi ninywe diclofenac! Hahahaaa!
Hahaaaaaa! Hizi story zina class yake ya watu flani akili kubwaa WASIOKUBALI KIRAHISI kama Wa humu JF, sio level za wasoma magazeti ya shihongo.
Lara nakukubali sana..nakusomaga kimya kimya..level yako sio ya shigongo kbs yani ww unawateka watu wa class fulani..andika novel mamy.. Au fanya kitu kwa kipaji chako tukusupport..nakuongeza ktk list ya kina Sydney..Danielle..Grashm..Hatcher.. Hzo ndio level zako