Recent content by mastersajenti

  1. M

    Kashfa ya makontena yamuibua Ridhiwan Kikwete!

    Ridhiwan kikwete hebu Na wewe jiulize kwanini WEWE Na sio Makongoro Nyerere?
  2. M

    Waziri Mkuu Majaliwa apiga marufuku mikutano ya kisiasa

    Jamani mbona uchaguzi mmetangazwa nyie hata kuwashukuru wananchi nao CCM inaona kama chadema wako kwenye kampeni? Inashangaza sana CCM
  3. M

    Katibu mkuu wa ardhi ajiuzia v8 mil 5, limetengenezwa kwa mil 55

    Hongera Katibu Mkuu kujipatia gari Kwa sh. Milioni 5 Mungu akupe nini baba
  4. M

    Lowassa we ni nani nchi hii mpaka unagusa maisha ya watu kiasi hiki?

    Jamani jamani mwacheni Mzee Wa watu mbona kawaachia CCM yenu? Kinachowauma nini mpaka mnaacha yenu midomo juu ya wengine?
  5. M

    Wassira aliitabiria kifo CHADEMA kisiasa, kafa yeye

    Masikini Wassira unakufa kisiasa hivi hivi baba? Binti mdogo Ester Bulaya kakugalagaza pole pole sana baba subiri viti maalumu CCM inarekebisha katiba yake kikao kijacho.Ila Chadema haifi utakufa wewe
  6. M

    Lowassa aanza kuchunga ng'ombe huko Handeni, Tanga

    Kwani nani kakemea ufisadi zaidi ya Mwl. Nyerere? Mkuu hakuna msafi ndani ya nchi hii
  7. M

    Sababu 7 kwanini Mbowe anapigwa sana mawe na ana maadui wengi sana

    Acha uongo Mh. Mbowe hana maadui zaidi ya CCM Na Mamluki
  8. M

    Manji: Nchi yangu hainithamini

    Hivi huyu Manji ndiye yule aliyepewa Tenda Na Manispaa ya Kinondoni kutengeneza matela ya kusomba takataka Na Lukuvi akiwa Mkuu Wa mkoa Wa Dar akagoma kuyazindua kutokana Na kuwa chini ya Kiwango?
  9. M

    Katibu mkuu wa ardhi ajiuzia v8 mil 5, limetengenezwa kwa mil 55

    Used: haya Mkuu Na wewe baba yako atauziwa pantoni amelitumikia sana taifa hili
  10. M

    Mbunge ampa mimba Wema Sepetu

    Pongezi sana Mh.Msukuma mfupa walioshindwa makumi ya wanaume wewe msukuma umeuweza hakika wasanii Wa bongo movie wanapaswa nao kukupongeza
  11. M

    Je utaratibu wa kununua gari la serikali ukoje?

    Kuna hoja inazungumzwa sana katika Vyombo vya habari hususani Gazeti la Uhuru Na Mitandao ya kijamii juu ya Katibu Mkuu Wa Wizara ya Ardhi kutengeneza gari lililokuwa linatumiwa Na aliyekuwa Waziri Wa Ardhi Anna Tibaijuka kupata ajali.Matengenezo ya gari hiyo yamegharimu sh.milioni 55 Fedha za...
  12. M

    Waziri Mkuu Majaliwa apiga marufuku mikutano ya kisiasa

    Waziri Mkuu Bw.Majaliwa juzi alienda jimboni kwake Na kufanya mkutano Wa hadhara Wa kuwashukuru wananchi wake.Kwa kuwa yeye kesha washukuru wananchi wake akaamua kupiga marufuku mikutano ya vyama kufanya mikutano.Tunajiuliza in Sheria IPI inazuia mikutano ya vyama? Kuna tatizo gani vyama kufanya...
  13. M

    CHADEMA yalaani dhamira ya Serikali kukataza Mikutano ya hadhara ya vyama vya Siasa

    Barbarossa we we ndio mpumbavu hoja in kuzuia mikutano ya vyama.Mikutano ya vyama iko kisheria Na kikatiba hakuna aliye juu ya katiba sio Magufuli wala Majaliwa wote wako chini ya katiba hakuna Mwenye uwezo Wa kuzuia vyama kufanya mikutano.
  14. M

    Katibu mkuu wa ardhi ajiuzia v8 mil 5, limetengenezwa kwa mil 55

    Kumbe mkungo ndio wale wale kichwa kikubwa ubongo kidogo?
  15. M

    Katibu mkuu wa ardhi ajiuzia v8 mil 5, limetengenezwa kwa mil 55

    Bw. Kilambalambila acha upumbavu Mh.magufuli hawezi kuongoza anavyojua ataongoza Kwa kufuata katiba Na ayafanyayo ndio ilani ya Wapinzani isemavyo ya CCM haitamki ayafanyao
Back
Top Bottom