mastersajenti
Senior Member
- Dec 4, 2015
- 165
- 24
Kuna hoja inazungumzwa sana katika Vyombo vya habari hususani Gazeti la Uhuru Na Mitandao ya kijamii juu ya Katibu Mkuu Wa Wizara ya Ardhi kutengeneza gari lililokuwa linatumiwa Na aliyekuwa Waziri Wa Ardhi Anna Tibaijuka kupata ajali.Matengenezo ya gari hiyo yamegharimu sh.milioni 55 Fedha za serikali.Baada ya matengenezo hayo amejiuzia gari hilo.Swali je in taratibu gani zinatakiwa kufuatwa ili kununua gari la serikali? Naomba anayejua atujuze ili tuweze kuichangia hoja hii badala ya kushabikia bila kujua.