OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 52,018
- 114,366
Stephen Wasira sio mbunge tena,wala sio waziri tena.Amekufa kisiasa. Ni kama hakuwahi kuwepo kwenye duru za siasa.
Wakati siasa zikiwa zimepamba moto aliyekuwa mbunge wa Bunda na waziri wa JK Mh.Wasira alikitabiria Chadema kifo.Utabiri huo uliambatana na hujuma na fitna mbalimbali kwa Chadema. Wasira akawa kigogo mwenye kusikilizwa CCM Kwa kuwa alikiweza Chadema.... Kumbe ilikuwa kujijaza upepo tu.
Chadema ikadunda uchaguzi mkuu. Sera zake zikasikika na kueleweka.... Haikufa na hata dalili za kufa hazipo.
Katika uchaguzi, Chadema "chama mfu" ikiweka "kapi" binti Esta Bulaya kuwania ubunge... Stephen Wasira akijua anashindana na mtu tena binti tena toka chama mfu akaleta hujuma kadha wa kadha...
Leo hii Wasira na Sita Samuel wameshakufa kisiasa na Chadema haina hata dalili ya kuondoka kwenye mioyo ya watanzania