Recent content by Masterplaner

  1. Masterplaner

    JamiiForums Tanzania Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini tafuteni zao mbadala la biashara,Mahindi Kwa Sasa yanalimwa Kila pembe ya Nchi.Hadi Singida bei ni 45,000

    Matatizo uliyopitia utotoni yamekuharibu sana bahati mbaya sana hilo tatizo huwa haliponi,jibu hoja kwa fact kama ulivyo fanya hizi lugha za kima haziwezi kutibu matatizo uliyopitia utotoni
  2. Masterplaner

    JamiiForums Tanzania Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini tafuteni zao mbadala la biashara,Mahindi Kwa Sasa yanalimwa Kila pembe ya Nchi.Hadi Singida bei ni 45,000

    Soko kuu la mahindi ya nyanda za juu kusini ni nje ya Tanzania' Zambia,Congo na Malawi ndani ya nchi faida ni ndogo ukilinganisha nakuwauzia majirani ukilima Mbeya au Songwe uko katikati ya soko unaweza uza nchi jirani au kuuza ndani kwa bei ya kawaida
  3. Masterplaner

    JamiiForums Tanzania TAHADHARI ZA KUCHUKUA UNAPOKWENDA KUOGELEA BWAWANI AU BAHARINI

    Hili bandiko lako ni kwaajiri ya wasiojua kuogelea, maana tahadhari ni nyingi mno, Hofu ni kubwa mno maji asili yake kadri unavyokuwa na hofu kubwa ndivyo yanavyo kumaliza fasta, tahadhari no 3,7 na 10 ziko poa sana, jambo lingine la muhimu ni lazma ujue stamina yako unaweza ogelea kwa umbali...
  4. Masterplaner

    JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu: Tim Draper Atauza Uwekezaji wa Lupita, Pesa Zitaenda Nje na Wananchi wa Nkasi Wataambulia Makombo

    Kuna mahali nimesoma utaratibu wa kumiliki kisiwa kwa sheria za kimataifa ni miaka kuanzia 30 mpaka 99 na gharama ni kubwa sana kwasababu investment inayo wekwa pale si ya kitoto Serikali inabakia tu kukusanya kodi sasa inapotokea mmiliki anataka kuuza anaruhusiwa kwa kufata makubaliano...
  5. Masterplaner

    JamiiForums Tanzania Kero katika Misa Katoliki (kwa wakatoliki tu)

    Kunautofauti mkubwa sana ukisali kwenye makanisa ya ushuani na haya ya kitaa sijajua nadhani mapadre wanahubiri kutokana na aina ya waumini ukisali ushuani unapata ile test halisi ya ukatoliki ile tuliyokuwa tunaipata miaka miaka 90s😂😂😂
  6. Masterplaner

    JamiiForums Tanzania Fangasi za korodani zimeanza kubandua ngozi na kutengeneza vijipele, msaada!

    Dawa namba moja ni usafi na hakikisha una boksa zisizopungua 7 boksa moja kila siku ya wiki,binafsi huo ugonjwa ulinitesa
  7. Masterplaner

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Zambia 2026: Hakainde Hichilema ashinda Urais kwa muhula wa pili

    Gharama ya maisha iko juu sana kwenye ile nchi
  8. Masterplaner

    JamiiForums Tanzania Mimi na mzee wangu hatuko sawa, na sioni dalili ya kuja kuwa sawa tena

    Kwauzoefu wangu hiyo ni hali ya kawaida kwa vijana wengi wa rika kama lakwako ni stage tu katika ukuwaji wa ubongo wako ,Utaanza kumuelewa baba yako ukitimiza miaka kuanzia 35+
  9. Masterplaner

    JamiiForums Tanzania Super El nino 2026/2027.. El nino ya kihistoria

    Wakati ilipotokea utawala wa Mkapa tulishuhudia reli ikisombwa na maji barabara madaraja mifugo pamoja na miti mikubwa ambayo hatukuwahi kushuhudia nyumba kuanguka nk
  10. Masterplaner

    JamiiForums Tanzania Nisamehe sana John Pombe Magufuli mwema wa Africa

    Mfumo alioutengeneza Nyerere kuzuia nchi isiingilike kirahisi na wenye nia mbaya kutoka nje ya nchi yetu ni mzuri mno na nikiri naupenda sana Shida yetu kubwa iliyo tufikisha hapa tunapenda sana bila kuwa na kiasi kiufupi MAHABA ndiyo yaliyotufikisha hapa "Mahaba niue" nayatatuua kweli...
  11. Masterplaner

    JamiiForums Tanzania Mtu ana umaskini wa kutosha, familia inakula dagaa, mavazi ya mtumba lakini ànasomesha mtoto shule ya kulipia

    Kwenye mavazi ya mtumba hapo, mimi binafsi napenda mtumba kutokana na material zinazotumika kutengenezea mavazi hayo niza kiwango cha juu ukilinganisha na hizi mpya za kichina mfano mtu unanunua sendo soli ngumu kama kipande cha ubao mguu hauko comfortable kabisa unapo vaa ila unaonekana...
  12. Masterplaner

    JamiiForums Tanzania Hivi mpenzi wako akikuuliza “Una lengo gani na mimi” unamjibuje?

    Mimi binafsi nina furaha na haya mahusiano yetu ila kama wewe una mtazamo mwingine nijurishe
  13. Masterplaner

    JamiiForums Tanzania Unyama: Halmashauri ya Wilaya ya Kyela yatoza wakulima ushuru kwa gunia moja la mpunga tsh 2000/= hata kama hauuzi

    Shule amesoma shida ni mambo ya kimfumo tu ni memsikia akihojiwa kyela fm radio
Back
Top Bottom