Recent content by Masterkratos

  1. Masterkratos

    Web developers let's change Tanzania's government web applications look and feel!

    Yani tunatengeneza kwa nini? figma, adobe xd au html na css kabisa. Kama ni html, css, js hili haliwezekani. 😂😂. Na nakubaliana na wewe muonekano wa hizi website ni wa kizamani sana, sema naona government website za nchi nyingi au institutes kama za elimu huwa zinakua hivi. sasa sijui huwa ndio...
  2. Masterkratos

    What are some traits of genius people

    trait ya watu wenye average IQ ni kujisifia wenyewe kila mara.
  3. Masterkratos

    Nimevamiwa na NUSM Virus

    Pole, hiyo virus nahisi ni randomware, huwa ni ngumu kurudisha mafile kwasababu yanakua encrypted ila kuna website zinasema zinaweza ku decrypt extension kadhaa za encrypted files lakini mimi sijawahi jaribu labda google ujaribu.
  4. Masterkratos

    Msaada wa mawazo kuhusu computer development courses

    Safi sana mkuu, umempa ushauri ki- honest kabisa na mzuri sana.
  5. Masterkratos

    Nawezaje kujifunza programming

    Kama umeshaangalia video za masaa 6 na haujisikii kama umeelewa, hii ni kawaida sana kwenye programming. Tatizo hapa ni kwamba una consume vitu vingi lakini hauvi apply. Kwahiyo nakupa ushauri ambao siku niliopewa nilijiuliza kwanini sikupewa siku nyingi. Ushauri ni kwamba unapojifunza kitu...
  6. Masterkratos

    Hivi kwanini wauzaji vipuli wa Bongo ni washamba kiasi hiki!?

    Wakulaumu hapa ni wanajamii wenzako waonunua toyota tu. Hivyo wauza spare wanaleta spare kulingana na mahitaji ya wateja.
  7. Masterkratos

    Anaejua bei ya spare za forester SG5

    Asante sana mkuu kwa mchango wako.
  8. Masterkratos

    Anaejua bei ya spare za forester SG5

    Anaejua bei (used) ya back bumper Taa za nyuma na Boot nzima ya subaru forester sg5 (2003) naomba anijuze.
  9. Masterkratos

    Msaada: Held by customs (import clearance failure)

    Niliagiza tws earphones wakaniwekea hivyo. Nilipoenda posta wakaniambia lazima nilipie kodi. Nikawadanganya earphones nimenunua 40 badala ya 110 nikapigwa kodi ya kama 20000 hivi. Sasa sijui kama kudanganya ilisaidia au vipi. Kwasababu nilijua labda nikidanganya itakuwa kama 5000 hivi lakini...
  10. Masterkratos

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Mimi huwa inanisumbua hata siku nzima, hata kabla ya bei mpya ya vifurushi ilikuwa inasumbua hivi hivi. Jaribu kila baada ya masaa 4. Usiku ndio naona afadhali zaidi.
  11. Masterkratos

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    hii app ndio tatizo lake. yaani ni kubahatisha tu.
  12. Masterkratos

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Nimefanikiwa mkuu.😁😁. Nimejilipua 20000-gb22, Just in case. 😁😁
  13. Masterkratos

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Hii app ku log in kwangu ni mbinde.
Back
Top Bottom