Chipukizi
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 3,949
- 5,980
solution zipo.Hakuna anti virus inayoweza kuclean ransomware?
Kama njia ya kuclear files ikifeli inabidi afuate hii option unayosema
solution zipo.Hakuna anti virus inayoweza kuclean ransomware?
Kama njia ya kuclear files ikifeli inabidi afuate hii option unayosema
hizo infected files zimekuwa locked uwezi ifungua popote mpaka urun special malware remover.ata ukikopy na kuifungulia kwenye PC nyingine azifungukiHiyo kupandikizia windows ni kitu nilikua nafanya wakati najifunza kuinstall windows.
Kwa sasa hivi siwezi kufanya hivyo.
Now kirusi kipo kwenye Local Disk C ukaamua kuinstall windows kwa kuipandishia kisha akimaliza aingie kwenye Windows old si atakua anakirudisha upya kirusi?
Unashauriwa kutolipa ransom.Kuna tools za kufungua files hizo.Ukiformat PC maana ake files zote unazipoteza milelenusm ni ransomware, files zimefungwa izo mpaka ulipie ndio zifunguliwe
sahau izo files, clean install windows kwa C drive, kisha scan drives zilizobaki kuondoa traces za virus waliobaki
'anti-virus' inakua effective hasa kabla hao jamaa hawajawa executed,Hakuna anti virus inayoweza kuclean ransomware?
Kusema huwezi zifungua popote ni overstatement.hizo infected files zimekuwa locked uwezi ifungua popote mpaka urun special malware remover.ata ukikopy na kuifungulia kwenye PC nyingine azifunguki
Bado naona aipe smadav a shot kwakua ndiyo cheap option unless awe na mpunga wa kulipia anti virus ambayo haikimbilii kufuta file lenye kirusi.'anti-virus' inakua effective hasa kabla hao jamaa hawajawa executed,
hao jamaa washatapakaa, pengine washa compromise na 'anti-virus' yenyewe
ilibidi mtoa mada a-scan file a-lilo-download huko kabla ya kuli-run
aki full-scan sa-ivi kibishi bishi, traces bado zitabaki na ni swala la mda tu kabla virus ku-self-replicate tena
clean install ni njia bora kuwa kwenye safe side zaidi
mtoa mada hasa anataka kuondoa virus, sio kupata files, kwa maelezo yake ya juuunaweza boot kupitia ubuntu or any other linux na ukafanikiwa kupata access ya files zako zilizo kuwa infected katika partition ya windows
Ukimaliza ku-scan unajaribu ATTRIB command kufichua files zilizofichwa na kirusi, pia unaziondoa zisiwe marked as system files au archived files kwa hiyo command.True.
files zilizofungwa na kirusi tunazifanyaje? Notice kwamba anti virus nyingi zinafuta file lenye kirusi badala ya kuscan na kuliacha.
Hakitoweza kurudi kwani kikijaribu kinakutana na Antivirus iko tayari so kinakua blocked automaticaly.Hiyo kupandikizia windows ni kitu nilikua nafanya wakati najifunza kuinstall windows.
Kwa sasa hivi siwezi kufanya hivyo.
Now kirusi kipo kwenye Local Disk C ukaamua kuinstall windows kwa kuipandishia kisha akimaliza aingie kwenye Windows old si atakua anakirudisha upya kirusi?
Hakitoweza kurudi kwani kikijaribu kinakutana na Antivirus iko tayari so kinakua blocked automaticaly.
Akimaliza tu kupga window ana update window defender ile ya windows 10 akishapata Green Tick basi ruksa kwenda fungua file lolote ndani ya PC.
Hakuna Virus wa ndani ya PC window defender itamshindwa lakini pia anaweza install Malwarebytes kwangu mimi hii ndio software ambayo siwezi ikosa kwenye mashine yangu.
Naiamini na nina ielewa kupita maelezo kwa upande wangu ndio BEST ANTIVIRUS tangu nizjue antivirus tofaut tofaut.
Malwarebytes Hashindwagi na kitu kwahyo akishaiweka malwarebytes sasa anaenda kwenye windows.old kufungua akiwa anajiamini kbsa atakutana na mafile yake yote na hakuna virus ataefurukuta.
tunapga window juu ya window tunapotaka kuokoa DATA MUHIMU tu hii sio jambo la siku zote ni kwa emergency tu kama iliyomkuta BILGERT
Unashauriwa kutolipa ransom.Kuna tools za kufungua files hizo.Ukiformat PC maana ake files zote unazipoteza milele
Unatumia file recovery tool gani mkuu?? Ukiformat Hdd na kuinstall new windows/files utaweza rudisha vipi formated files??Nani alikudanganya ukiformat pc file zitapotea milele?
Nikujulishe tu, files zitapotea labda incase hdd imeungua, tena ikawa majivu kabisa!