Recent content by Masseto

  1. Masseto

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kuna tetesi Julai 17 Polepole anaenda kusambaratisha Wahuni na Kiongozi wao kuanzia Utekaji, Mauaji, DP World...

    Wawahi kumdhibiti tu asije akatudharilishia bibi kilemba wetu
  2. Masseto

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkiambiwa kuwa hawa Wanawake tuwapende tu ili tusimkwaze Mwenyezi Mungu, ila siyo Watu wazuri kabisa muwe mnaelewa sawa?

    Offer kubwa ya Wanawake kwa mwanaume ni penz, sidhan kama kuna kingine labda upate lishangaz
  3. Masseto

    JamiiForums Tanzania Kumbe kuna baadhi ya Sekta Binafsi watu wanaishi kama wako peponi vile

    Dah ni vile tu uwaga sipigagi hesabu ila ukute izo pesa zote za izo secta 26 nazikamata ndani ya miez miwili tu pasipo kujua ktk harakati zangu
  4. Masseto

    JamiiForums Tanzania Hawa viongozi washauriwe wapumzike

    Mkono mmoja haufanyi kazi
  5. Masseto

    JamiiForums Tanzania Hivi, uislamu uliwahi kuleta nini?

    Watu hamna shukran, mmesahau TENDE
  6. Masseto

    JamiiForums Tanzania Kipi unafanya ili kujituliza wakati unapitia magumu?

    Nakunywa pombe ngumu..
  7. Masseto

    JamiiForums Tanzania Msanii wa Ghana Shatta Wale agomea show kwa $200,000 baada ya kugundua Diamond kalipwa $600,000 (Tsh Bilioni 1.5) na Davido $500,000 (Tsh Bilioni 1.3)

    Kwa huu ukata ninaopitia now, ningepewa dolla elf moja tu ningetembea na beat
  8. Masseto

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali: Ofisi za ustawi wa jamii zimegeuka kuwa chama cha kusaidia Wanawake

    Namkumbuka baba mwenyenyumba wangu miaka kadhaa yalimtokea kama aya, alioa mke mchaga, alikuwa mwajiriwa kwenye kampuni fulani binafsi, Uzeeni yule mke na watoto walimuendesha sana mzee wawatu ad tukawa tunamhurumia aisee, mabinti zake wanamjibu baba yao jibu lolote ata liwe tusi, mwishowe...
  9. Masseto

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali: Ofisi za ustawi wa jamii zimegeuka kuwa chama cha kusaidia Wanawake

    Aisee vifo kwa wanawake na kuchomwa moto havitaisha, juzi mwingine amegundua watoto wote watatu aliowalea sio wake baada ya kupima DNA. Ndoa sio mchongo tena, unajichimbia shimo mwenyewe
  10. Masseto

    JamiiForums Tanzania Mtoto wangu anatokewa na marehemu babu yake

    Mchungaji katengeneza scene
  11. Masseto

    JamiiForums Tanzania RC Makonda: Watanzania wengi wamewekeza kwenye umbea kuliko kutafuta taarifa za Kiuchumi na Biashara

    Tumewekeza kwenye simba na yanga
  12. Masseto

    JamiiForums Tanzania Mimi ni Mkristu ila nimeamua kukiri kwa ridhaa yangu kua Uislamu ndio dini ya haki ya mwenyezi Mungu

    Izo nguvu zitumie kujikwamua kiuchumi,
  13. Masseto

    JamiiForums Tanzania Nakerwa na Hotuba za Viongozi wa Serikali kwa kutumia muda mwingi kulitajataja jina la Samia wakati kuna vitu vya msingi vya kusemea

    Zuchu ametamka maneno kwamba mama samia mitano tena, raia wamemrushia makopo ya maji jukwaani ad kaondolewa na security
  14. Masseto

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Joyce Kiria: Mwanamke kumhudumia mwanaume ni ujinga

    Kwa izo kucha anasafishaje ikulu zake.
  15. Masseto

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimemfumania mke wangu na mwanaume mwingine, nimemwambia arudi nyumbani amekataa. Nifanyeje?

    Ondoka wew mwachie nyumba
Back
Top Bottom