Chumchang Changchum
JF-Expert Member
- Nov 1, 2013
- 6,134
- 6,419
Rais Museven bado yuko ngangalii...
Jamaa wamechoka na kuchakaa balaa lakini wapi, wamegoma kabisa kukaa pembeni, watafia kwenye viti vyao vya urais.Pichani ni Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda na Swahiba wake kutoka Sudan Kusini wakiwa wanatembea kwa taabu kweli kweli.
Ninawashauri Wazee wangu hawa wapumzike waache vijana waongoze Nchi.
Waige Mfano wa Sleepy Joe wa Marekani aliyeamua kung'atuka kwasababu ya umri.
View attachment 3295515
Dhahabu!? Uzee ndiyo unaongoza kwa kuua binadamu.Uzee ni dhahabu.
hahah
Apart from being Commanders-in-Chief by virtue of their presidential titles, they are both full generals of their armies who practiced for decades from junior to the highest ranks!Pichani ni Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda na Swahiba wake kutoka Sudan Kusini wakiwa wanatembea kwa taabu kweli kweli.
Ninawashauri Wazee wangu hawa wapumzike waache vijana waongoze Nchi.
Waige Mfano wa Sleepy Joe wa Marekani aliyeamua kung'atuka kwasababu ya umri.
View attachment 3295515
View attachment 3295561
Anzia kwenu 😁
Gari ni injini 😁View attachment 3295963salama leko
Kiongoz wa kiafrika usimuamini kabisa 🤣🤣Ikulu patamu.
View attachment 3295938
Atakuwa amewekewe mpira now kukwepa ile aibu.Angalau hata m7 huyu kiir ni huzuni kwakwel, kuna video moja ilikuwa inaonesha anajikojolea hadharani
HB wa CCMView attachment 3295561
Anzia kwenu 😁
Madaraka ni kitu kingine. Yanahitaji sheria na kanuni za kuya-control. Bila hivyo ni rahisi sana kumlevya mtu na kujiona yeye ndiye anastahili tu. Ungeambiwa Mbowe aliyekuwa anahubiri demokrasia angetaka kuwa mwenyekiti wa maisha wa Chadema ungeamini?Hiyo "Angalau" yani nini....wakapumzike wacheze na vitukuu